Degree ya uchawi yaanza kutolewa Afrika Kusini

Degree ya uchawi yaanza kutolewa Afrika Kusini

n hatua kubwa kwa mtizamo wangu, mana nch za magharb hii n kitu ya kawaida na huwasaidia sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama ni IT watu wanasema ni uchawi wa kizungu kwann uchawi usiwe sayansi ya Afrika na ukatumika kufanya mambo mazuri na ya maendeleo yasiyo na madhara kwa watu?

wakaz wa Dar Es Salaam wangekua Wanasafiria ungo folen ingepunguA
 
Back
Top Bottom