sasa cost a/c..nyie mnaona jiwe...muendelezo wake ndio management ac...income tax na vat hizo ni laini...ielewe act tu...unateleza..issue ifm inachkua hadi watu wa arts kuja kusoma tax.. small numbers zinawatesa!+ cost accounting
+ VAT na INCOME tax
ha ha ha.salimia sana Dr karamagi na nyoni.hapo pia kuna ile kitu inaitwa ec219 na ec229,weka na ile kitu ya ec218 na ec217.ase mwaka wa pili ilibidi niopt udbs maana huko department ilikua balaa.'Ninawalilia' waliochaguliwa Bcom na Economics.. Kuna Ec216 na Ec 226. Hizo kozi sio za mchezo mchezo.
Poa poa pamoja mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]basi poa,sio kesi shehe!
For sure mkuusina uhakika sana,lakini maso6 ya natural science ni magumu tu kwa ujumla.
Kwenye civil naona too much..they have to be very careful and a hale body..Mliochaguliwa hizi degree programs pale udsm,mkawe makini,vingnevyo mtaisoma number
1.civil engineering
2.electrical engineering
3.mechanical eng
4.mining eng
5.physics
6.economics
7.statistics
Karibu mkuu hata mimi sikuwahi kufikiria kurudi hapaeconomics imenifanya nisitamani kurudi udsm kwa masters.lakini nitaenda wapi zaidi ya hapo?
Be care
Broooo unanitisha me nmepangwa economics'Ninawalilia' waliochaguliwa Bcom na Economics.. Kuna Ec216 na Ec 226. Hizo kozi sio za mchezo mchezo.
Hv hyo economics ni ngumu hvyo mnanitishaeconomics imenifanya nisitamani kurudi udsm kwa masters.lakini nitaenda wapi zaidi ya hapo?
Mliochaguliwa hizi degree programs pale udsm,mkawe makini,vingnevyo mtaisoma number
1.civil engineering
2.electrical engineering
3.mechanical eng
4.mining eng
5.physics
6.economics
7.statistics
Ec 226 hatari sanaaa'Ninawalilia' waliochaguliwa Bcom na Economics.. Kuna Ec216 na Ec 226. Hizo kozi sio za mchezo mchezo.
Hatari sana ila karamagi mtu poa sana na hakika anaijua vizuri sana micro.ha ha ha.salimia sana Dr karamagi na nyoni.hapo pia kuna ile kitu inaitwa ec219 na ec229,weka na ile kitu ya ec218 na ec217.ase mwaka wa pili ilibidi niopt udbs maana huko department ilikua balaa.
Nenda tu ukakutane na advanced micro na econometrxeconomics imenifanya nisitamani kurudi udsm kwa masters.lakini nitaenda wapi zaidi ya hapo?