Degree kwa njia ya Posta. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Degree kwa njia ya Posta.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bweri, Apr 18, 2012.

 1. B

  Bweri Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wana JF naomba msaada wenu mimi ni mtumishi wa serikali na nina familia inayonitegemea,ila na hitaji kujiendeza kwa njia ya posta namba msaada kwa anayefahamu chuo anisaidie,ninakofanyia kazi ni kijijini natumia saa 6 hadi kufika makao makuu wa wilaya.
   
 2. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kaka, una computer na unaweza kupata mtandao angalau kwa masaa 2 kwa siku? Ikiwa utakuwa na hivi nilivyovitaja, unaweza kusoma "online"kupitia mtandao.Sina hakika kama kuna chuo kinatoa degree kwa njia ya posta.Stay tuned, hope Vingunge watakuja na muongozo mzuri zaidi.
   
 3. B

  Bweri Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ahsante kwa ushauri itabidi nitafute na gharama zake ni kiasi gani,au unisaidie contact zao nataka kuchukua public adm kwa sasa nina diploma@bourgeois
   
Loading...