DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,895
- 3,064
umeambiwa ongezea zingineKama uhasibu haupo hapo ni ubatili mtupu
umeambiwa ongezea zingineKama uhasibu haupo hapo ni ubatili mtupu
hata miradi ya serikali (shule, zahanati/vituo vya afya na barabara za vijijini)wanojenga ni non-experts artisansCivil is not about what we study mkuu, kwasababu hata nyumba nilizo nazo Leo hii hazijajengwa na civil engineers
Ndio sio civil. Hawa civil wanatoa muongozo tuhata miradi ya serikali (shule, zahanati/vituo vya afya na barabara za vijijini)wanojenga ni non-experts artisans
Okay, mbona hakuna artisans kwa fani zingine, kama afya na elimu?Ndio sio civil. Hawa civil wanatoa muongozo tu
Kila degree ni Boraumeambiwa ongezea zingine