Duh aisee hata nikilipiwa nauli hili dude sipandi....limekaa ki-kufa kufa.....
Duh! kweli hili dege limekaa kiuajiuaji yaani mpaka naliogopaDuh aisee hata nikilipiwa nauli hili dude sipandi....limekaa ki-kufa kufa.....
Warusi wako mbali sana ktk kuunda ndege.hivi sasa wana dege moja nimesahau jina linabeba kijiji kizima na mizigo na magari juu.ndani kuna mpaka hoteli na vyumba vya kulala
Bora usafiri wa majini, mhh!
...itazame hii post hapa chini...zile zinazoanguka congo ni vipi?Mkuu, usiwe na wasiwasi. Ndege hizi kwenye picha zinaonekana chakavu kwa sababu zimekaa makumbusho zaidi ya miaka 30. Ikumbukwe kuwa ziliruka mara ya mwisho 1976. Tu-114 ni moja ya ndege za abiria zilizokuwa salama zaidi katika historia ya usafiri wa anga. Ndege hii ilipata ajali mara moja tu katika miaka 16 ya kusafirisha abiria na ajali hiyo ya mwaka 1966 ilitokana na uzembe wa rubani.
kweli mkuu..ishadondoka kulemadege haya DRC bado yanatumika
Hilo dge kiboko,huwezi kutuwekea picha zake mkuu,tupate kuliona......!!Yaani kama kijiji cha LUGOBA chooote ndani......:tape2:
Ziroseventytwo .. Nafikiri hiyo ndege ndio iliyoleta mitambo ya Kampuni ya umeme ya Richmond / Dowans hapa Dar es Salaam ... so imeshawahi kutua.Wakuu hilo Antonov linaruhusiwa kutua bongo? Mbona hizo kama ingine ya train? Au macho yangu
Kinapatikana wapi hicho kijiji mkuu!