Eehh kumbe ulikuwa watafuta hifadhi ipi hiyo...[emoji6][emoji6][emoji6]
Lugha tatanishi.....Mimi natafuta hifadhi moyoni mwako halafu wewe ukanihifadhi porini ?[emoji1]
Pole dada
Naachaje sasa kujua lazima umenidongoa[emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Why?
AhaaaaaaaaDisaster
Thank you bradha vipi wewe is it good? Just hope it is[emoji1]Pole dada
Lovely.Thank you bradha vipi wewe is it good? Just hope it is[emoji1]
Acha uboyaPenzi langu ni mateso makubwa...Mwanamke niliyenaye nampenda sana ila sifuraishwi na tabia zake... Ananichuna, anipi mzigo, hajui hata kunipetipeti nikiona simu yake naogopa maana najua naliliwa shida, yeye hashei furaha na mimi ni shida tu naelezwa....Ananitesa sana nakufa kiume na kumuacha siwezi.
Mungu nipe nguvu niione kweli.
OceanExample lovely,fear,anxiety ,eggshell,controlling,greedy,satisfying
Lugha tatanishi.....
Wahi uchague chemba kabla hazija jaa....
Walaaa!Naachaje sasa kujua lazima umenidongoa[emoji51][emoji51]