Bado mpo nae hadi leoPenzi langu ni mateso makubwa...Mwanamke niliyenaye nampenda sana ila sifuraishwi na tabia zake... Ananichuna, anipi mzigo, hajui hata kunipetipeti nikiona simu yake naogopa maana najua naliliwa shida, yeye hashei furaha na mimi ni shida tu naelezwa....Ananitesa sana nakufa kiume na kumuacha siwezi.
Mungu nipe nguvu niione kweli.
Naona hadi unacheka sawa bwana mkuu😀😀Mtasema yote mwaka huu.
🤣🤣🤣🤣😅😅😅. Huu uzi nimeshangaa wachangiaji wengi ni ke ndo maana nimecheka nilidhani mwenye shida ni wanaume tu kumbe hadi nyie mmo.Naona hadi unacheka sawa bwana mkuu😀😀
😀 ke sisi ni wawazi sana mkuu, nyie ndiyo huwa mnakufa kiume, mimi huwa sielewi nakwama wapi ila hiyo sector nakula za uso sana😀😀🙌🤣🤣🤣🤣😅😅😅. Huu uzi nimeshangaa wachangiaji wengi ni ke ndo maana nimecheka nilidhani mwenye shida ni wanaume tu kumbe hadi nyie mmo.
Ila mnafichaga hisia sana.
Duuh labda hujampata anaekufaa.😀 ke sisi ni wawazi sana mkuu, nyie ndiyo huwa mnakufa kiume, mimi huwa sielewi nakwama wapi ila hiyo sector nakula za uso sana😀😀🙌
Duh nikisikia wanaume kutafutwa ndiyo nachoka kabisa, ahsante kwa ushauri lknDuuh labda hujampata anaekufaa.
Ila Sikuizi kupata reliable life partner ni taabu kweli kweli rafiki.
Vipi una sali usione wanawake wanaoenda kusali kwa watumishi sio bure.
Wanaume tunatafutwa sana tu. 😑😑 Cheza karata zako vizuri 😎😎
🤣🤣Duh nikisikia wanaume kutafutwa ndiyo
So sadPenzi langu ni mateso makubwa...Mwanamke niliyenaye nampenda sana ila sifuraishwi na tabia zake... Ananichuna, anipi mzigo, hajui hata kunipetipeti nikiona simu yake naogopa maana najua naliliwa shida, yeye hashei furaha na mimi ni shida tu naelezwa....Ananitesa sana nakufa kiume na kumuacha siwezi.
Mungu nipe nguvu niione kweli.
mwache aende kwa mpenzi wake