Define your love life in one word

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kama mimi tu huyu mtu sijui alizaliwa wapi wasikojua mapenzi huko laah [emoji2297]
bbade
Soon nitamwacha tu nikaombe hifadhi kwa
 
Process ya vibali nimeshaanza tayari
Hope compliance halitakuwa tatizo kwangu.
Nadukua maana ya hilo neno ....compl.....
Nikipata maana yake....utaruhusiwa kujihifadhi
 
Wote tunachangamoto kama izo ila tumeambiwa tufupishe kwa kuipa jina moja, maana kila mtu akitaka kuelezea sana huu utakua sio Uzi tens Bali ni gazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…