huyu ni ms kimambi mwingine kasoro blog ya mapicha-picha.Unaipeleka mijadala yako kama ligi bidada....
Samahani, ila mi sihitaji kujua yote hayo, hyo quote yangu uliyochukua haikukulenga wewe!
Mwisho wa siku unachokieleza ni mtazamo wako ambao unaweza usipenye sana kwa jamii ya huku nyumbani ambapo suala kutengeneza kipato kikubwa linazingirwa na changamoto nyingi sana,
kwa kuwa ukweli ni kuwa maisha yanaendelea mtu hawezi kuacha kuvuta binti mrembo wanayependana kwa kigezo eti hana kitu flani...
Hapana huku nyumbani hali haipo hvyo dada,
-huku mabinti wanahamia kwenye geto la mshkaji na kulazimisha ndoa, sababu ndoa ndio heshima ya mabinti.
-Huku nyumbani mabinti wetu warembo wanaamini katika utu na si vitu, ndio maana wanahamia geto kwa mshkaji toka ana katv ka black n' white lakini wanajenga familia pamoja mpaka wanakuwa na maduka yao kariakoo na biashara kubwa
-Huku nyumbani mabinti wetu warembo wanaamini mafanikio ya mwanadamu yanapangwa na Mungu pamoja na juhudi binafsi, ndio maana hawana huo utaratibu wa kumuhukumu mwanaume kwa namna anavyoonekana leo sababu wanajua kesho anayo Mungu.
Hivyo utaona kuwa aina ya mawazo yako yanawakilisha aina ya kundi la wanawake linalobakia baada ya kutoa hao wanawake wa huku kwetu.
Hongera kwa hilo ghorofa la mbezi beach.... lol
mi nilisema hapa ni wewe tu ndo unaweza kuongea na huyu bibie!Hakuna mateso wala nini Natalia! Mume wangu ana maisha mazuri baada ya kuoa. Stress zinaweza kuja tu hata kama mna pesa kiasi gani. Pesa sio kila kitu na wala si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Mnaweza kuwa na pesa ya kuwatosha lakini msiwe na furaha.
Divorce rate bongo juu mno sasa why ?
Hayo mengine sio issue me kinachonibore ni mahari! Kwanini nikinunue kwa mahari? NyumbA na kilA kitu atapata but mahari sitoi....
Vijana kabla hamjakurupuka kutaka kuishi na watoto wa watu kuoa muelewe maana ya mwanamke kuolewa.Heshima **** itapungua pale mkeo uliyemuoa anapoanza kukopa pesa na hata kuomba chumvi.kama huwezi kujivalisha huna haja yakuoa,Kama huwezi kulipa bills huna haja ya kuoa.Jikamilisheni kabla huja guarantee ya kumhudumia mwanamke .Life is very simple live according kwa income .Unaoa baada ya week unakuja na idea ya kujenga nyumba wote .Mwanaume wa maana Unaoa unanyumba ya kumweka mwanamke.umaskini utapungua sana .Date sio lazima uoe
Hayo mengine sio issue me kinachonibore ni mahari! Kwanini nikinunue kwa mahari? NyumbA na kilA kitu atapata but mahari sitoi....
Unazaa uko nyumba umepanga chumba kimoja.choo kimoja wapangaji 10 na 6 Kati ya hap H.I.V positive .maisha gani ya kuolewa hayo .Hapo ndio unajiona umeolewa
Hayo ni mwawazo ya Mtu maskiniHakuna mateso wala nini Natalia! Mume wangu ana maisha mazuri baada ya kuoa. Stress zinaweza kuja tu hata kama mna pesa kiasi gani. Pesa sio kila kitu na wala si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Mnaweza kuwa na pesa ya kuwatosha lakini msiwe na furaha.
Hayo ni mwawazo ya Mtu maskini
Hayo mengine sio issue me kinachonibore ni mahari! Kwanini nikinunue kwa mahari? NyumbA na kilA kitu atapata but mahari sitoi....
Kwa hiyo kwa kuweka kwako pesa mbele katika mapenzi na ndoa ndio unadhani ni mawazo ya mtu tajiri? Matajiri wangapi wamekuwa na ndoa chungu na kuishia kutalikiana? Kwanini hizo pesa zao zisidumishe ndoa zao? Hebu nisome vizuri unielewe. Sijasema pesa haitakiwi la hasha! Nimesema pesa si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Kichwa kinauma, duh! snowhite ulifanya la maana kutochangia huu uzi.
2012 plastic surgery and breast implant.Kwa hiyo kwa kuweka kwako pesa mbele katika mapenzi na ndoa ndio unadhani ni mawazo ya mtu tajiri? Matajiri wangapi wamekuwa na ndoa chungu na kuishia kutalikiana? Kwanini hizo pesa zao zisidumishe ndoa zao? Hebu nisome vizuri unielewe. Sijasema pesa haitakiwi la hasha! Nimesema pesa si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Kichwa kinauma, duh! snowhite ulifanya la maana kutochangia huu uzi.
Umejenga na mume .langu Mimi mwenyewe nimejenga my house is worth 500 million ya Tz na yupo mbwa na mlinzi.Sina haja ya kupangisha ,na I have two houses more one was my wedding gift na nyingine nilipewa zawadi with my mummy. Usishindane na watoto wa mafisadi utalala na njaa na Kufia muhimbili.mashauzi yanahitaji pesaaaaa .your hubby used youNa itakuta unaishi kimaskini sana huko ulipo you have two house in NY and CT hahahahahahhahahaha hizi nyumba mbili zinakupa kiburio mpaka utukane huku kaka zetu maskini wewe mtoto wewe cku ukitua bongo njoo nikuonyeshe jumba la zaid ya mil mia nililojenga na mume wangu na tulioana kwenye nyumba yakupanga **** wewe Mwa J mpotezee huyu snowhite pole my dada
Chezea mtoto wa fisadi na the wife of Dr RutherfordNa itakuta unaishi kimaskini sana huko ulipo you have two house in NY and CT hahahahahahhahahaha hizi nyumba mbili zinakupa kiburio mpaka utukane huku kaka zetu maskini wewe mtoto wewe cku ukitua bongo njoo nikuonyeshe jumba la zaid ya mil mia nililojenga na mume wangu na tulioana kwenye nyumba yakupanga **** wewe Mwa J mpotezee huyu snowhite pole my dada