Define kuolewa

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Vijana kabla hamjakurupuka kutaka kuishi na watoto wa watu kuoa muelewe maana ya mwanamke kuolewa.Heshima **** itapungua pale mkeo uliyemuoa anapoanza kukopa pesa na hata kuomba chumvi.kama huwezi kujivalisha huna haja yakuoa,Kama huwezi kulipa bills huna haja ya kuoa.Jikamilisheni kabla huja guarantee ya kumhudumia mwanamke .Life is very simple live according kwa income .Unaoa baada ya week unakuja na idea ya kujenga nyumba wote .Mwanaume wa maana Unaoa unanyumba ya kumweka mwanamke.umaskini utapungua sana .Date sio lazima uoe
 
Mama hilo unalosema praktiko ni ngumu sana..Siwatetei wanaume wavivu na wazembe..Lakn kusema ukweli unakuwa unawaonea kusema mpka mtu awe na nyumba ndo aoe...
 
Daaaah Muke ya Munzungu umetoa ushauri mzuri sana na wa maana!
Ntakutafutia zawadi nzuri!

Safiii sana!

 
Ngoja nidefine kuolewa.
Kwa mjibu wangu, kuolewa ni kupata hasara. Kwanini nasema hivi, sababu moja miongoni mwa nyingi ni hii.
Mwanamke anapoolewa anahama ukoo, yaani anabadili hadi jina la ubini. Kwa mfano, kama alikuwa anafahamika kwa jina la Ester Mlyatabu kabla ya kuolewa, akishaoolewa na mtu anayeitwa Barnabas Shadrack ataanza kuitwa Ester Shadrack.
 

mhm...so basi msilalamike tukiwagegeda na kusepa...maana wengi wetu nyumba hatuna. i like this....find fck forget
 
Hayo mengine sio issue me kinachonibore ni mahari! Kwanini nikinunue kwa mahari? NyumbA na kilA kitu atapata but mahari sitoi....
 
Ukitaka mtu asioe mpaka atakapokuwa amejenga nyumba basi wengi wataoa wakiwa vibabu. Kwanini watu wasioane tu na kuja kusaidiana kujenga hiyo nyumba? Haya mambo ya kutegemea kila kitu toka kwa mwanaume ndio yanafanya wanawake kuwa wavivu.
 
Kuolewa;Definition :
To leave evrythng behind including freedom, opportunities, ur family, clan, some of ur frnds,......,and start ol over with one person frm another world (family ), whom u really love and happily agree to share the rest of ur life with.
He don't have to hv a house or a car. I thnk hayo yananoga zaidi mkitafuta pamoja l. I mean mkianza from the scratch mtakua much more stronger kuliko ukute kila kitu 'ready made'.

Huo ni mtazamo tu....
 


Ngoja nitafute kamusi maana hapa nimetoka kapa
 
Ukitaka mtu asioe mpaka atakapokuwa amejenga nyumba basi wengi wataoa wakiwa vibabu. Kwanini watu wasioane tu na kuja kusaidiana kujenga hiyo nyumba? Haya mambo ya kutegemea kila kitu toka kwa mwanaume ndio yanafanya wanawake kuwa wavivu.
Utapata stress na matatizo .ushawahi kuona Mtu Ana maisha mazuri baada ya ndoa tu mateso
 
Kurahisisha maisha with free spirit and stress free with freedom .Dont live the life you can't afford Kama huwezi kulipa bills zako utawezaje Za wawili.
 
Ukitaka mtu asioe mpaka atakapokuwa amejenga nyumba basi wengi wataoa wakiwa vibabu. Kwanini watu wasioane tu na kuja kusaidiana kujenga hiyo nyumba? Haya mambo ya kutegemea kila kitu toka kwa mwanaume ndio yanafanya wanawake kuwa wavivu.
Ni heri uzeeke bila lawama na retirement funds .mtu unakufa unaacha mke asiyejiweza watoto hiyo future italiwaje.Mwanaume akifa mwanamke anatupiwa vitu nje mikopo kibao.Relax you can't afford marriage life be single and date
 
Mama hilo unalosema praktiko ni ngumu sana..Siwatetei wanaume wavivu na wazembe..Lakn kusema ukweli unakuwa unawaonea kusema mpka mtu awe na nyumba ndo aoe...

Unazaa uko nyumba umepanga chumba kimoja.choo kimoja wapangaji 10 na 6 Kati ya hap H.I.V positive .maisha gani ya kuolewa hayo .Hapo ndio unajiona umeolewa
 
Ukitaka mtu asioe mpaka atakapokuwa amejenga nyumba basi wengi wataoa wakiwa vibabu. Kwanini watu wasioane tu na kuja kusaidiana kujenga hiyo nyumba? Haya mambo ya kutegemea kila kitu toka kwa mwanaume ndio yanafanya wanawake kuwa wavivu.

Mawazo yako ni mazuri, Natalia nadhani hajui maugumu ya kujenga nyumba mjini!

Muhimu ni kwamba muoaji/muolewaji inabidi awe na kazi na sehemu ya kuishi. Nyumba ni added advantage !!
 
hapa wee utakua mwendo wakugegeda difernt ladies

Ndio maana mwanamke anakuwa hamuheshimiana akiamka asubuhi kujicream wewe.jioni ukirudi amepika huulizi Katoa wapi pesa .
 
Mawazo yako ni mazuri, Natalia nadhani hajui maugumu ya kujenga nyumba mjini!

Muhimu ni kwamba muoaji/muolewaji inabidi awe na kazi na sehemu ya kuishi. Nyumba ni added advantage !!
Tatizo unataka kujenga nyumba ya ghorofa kushindana na bosi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…