Deep:Nini tafsiri ya hii picha

Anatamani kurudi utoto lakini haiwezekani.
 
Anatamani kurudi utoto lakini haiwezekani.
 
Ujana kama maji ya moto lazimayarudi yalikotoka (ubaridi).
 
makamba ebu njoo tusaidie umpitie na kipanya uje naye maana hizi mnaziweza
 
Reactions: SDG
Tafsiri yake ni babu anakwenda kununua ugolo
 
Anakumbuka alivyochezea muda wake pamba sec
 
Anadanganya ana PhD kumbe inside elimu yake ni ya nursery school a.k.a vidudu
 
Reactions: SDG
Ni mkuubwa, wa umbo lakini ndani anareact kama mtoto
 
Lemutuz huyo,nje mzee ndani mtoto hhhhhhhhh....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…