hizi deep frier za chips zinauzwa kila moja ni 130,000
zipo mbili....nimezitumia muda mfupi kiasj kwamba na karatasi nimebandua jana wakati naziosha
naziuza sababu nimebadirisha biashara
0744597493
napatikana Dar es salaam
tukielewana bei utaletewa mpaka mlangoni