Dedication....What You Won't Do For Love

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,174
Reaction score
143,960
Sitataja jina wala majina lakini kama unasoma na kuucheza huu wimbo wa Bobby Caldwell na ukajihisi kuwa nimeu-dedicate kwako, basi kuna uwezekano mkubwa sana wewe ndiye mlengwa. Enjoy dear....


Na kama unajiuliza huu wimbo nimewahi kuusikia wapi....huu ndio wimbo ambao Tupac aliu-sample kwenye kile kibao chake cha "Do For Love"


NB: Wangapi mlijua mtunzi na mwimbaji alikuwa mzungu? Bila kumwona kwenye video na ukisikiliza sauti yake tu unaweza kudhani jamaa ni mnugu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…