Huyo dadiii yumo humu?
Aiseee kwani anasemaje kwenye huo wimbo?
Halafu weewee..... Uache hiyo tabia yako.
Uzi unaofuata naweka wazi kuwa..... Sukari ya warembo ndo Dadii wa K' Mahaba.
Nakutumishia matunda saa kumi jioni as evening snack, usiseme nimeweka limbwata hapo nimepiga simu tuu uletewe.
Wivu wa nini khursaKwa mbaali naona wivu.
Hehehehehehebee get prepared sugar....
Always prepared...
We ndio mzee wa marathon kila siku waniacha solemba...
Hahahaaahahahahahahaaa weewee, umeanza eeehh...
Nahisi pacha wako aka anaeniuzia msuba anahusika, ngoja nimuite hapa ana kesi ya kujibu
Mentor nacho cha Ruwa, nkiki.....!!
Waalah kabla jua halijazama uzi utakuwa hapa pwaah...