dedicate this to your wife

thanks maneno bila matendo ni kama mti wenye matunda yaliyokauka tunaamini haya unayafanya kimatendo zaiddi
 
shairi limetulia laweza rudisha penzi jipya hata kama talaka ishatoka.....
 
Nimeamka mapema, thinking about you (ni wewe nakufikiria)
Moyo wangu unahema, beleive me its true (mpenzi aminia)
Napenda unavyosema, "i have more to share with you"(nina vingi vya kushirikiana)
Mbele yako nasimama, just to say "I Love You" (nakupenda)

Kiswahili bwana inawezekana
 
Klorok..

Mashairi ya nini, siku hizi wake wanahitaji pesa na siyo mashairi!

Ukikosa sana mnunulie GX 100 - lakini mashairi hayana mpango siku hizi!
 
Klorok..

Mashairi ya nini, siku hizi wake wanahitaji pesa na siyo mashairi!

Ukikosa sana mnunulie GX 100 - lakini mashairi hayana mpango siku hizi!
dah! hili nalo neno. hili laifu limekuwa halina formula kabisa yaani. senks mkuu
 
hivi vinyangoma vya kibongo vikishaona gari tu basiiiii!
Hauwaelezi kitu when it comes to that, sijui huwa wanafikiria thats all matters nafikiri huwa wanapenda ule mchezo wa kutembea wananing'iniza funguo mkononi si unajua tena
 
jamani hata haya mashairi yanatosha kubadilisha hisia.
yan nimesoma tu mwili umesisimka,nimepata faraja as if it was my dedication BIG UP KLOROKWIN.
nini gari bwana,hata kwetu yapo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom