Decorder za Ting

digodigo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
315
Reaction score
256
Niko maeneo ya Kigamboni na Antenna yangu nimeelekeza pande za Kisarawe lkn cha ajabu toka nimeanza kutumia hii decorder picha zina mikwaruzo kibao na mara nyingine zinanasa na hivi karibuni tu channel zote hazipatikani isipokuwa Channel 10 tu je Yeyote mwenye idea anisaidie kwani hata ukiwapigia simu hawa jamaa hawapatikani kabisa na hata sijui ofisi zao ziko wapi hapa Dar.
 
je hapo kuna watu wengine hapo kigamboni wanaona fresh?kwani hata hapa dar kuna sehemu kwa antena za kawaida inakataa hadi utumie dish lao!kama vipi kawaone ofisi zao zipo kama unakwenda bagamoyo kuna kituo kinaitwa jogoo,teremka hapo,ulizia kanisa la AGAPE.utafika,tatizo lao hata namba za simu za huduma kwa wateja hazipatikani na zikipatikana hazipokelewi!
 
je hapo kuna watu wengine hapo kigamboni wanaona fresh?kwani hata hapa dar kuna sehemu kwa antena za kawaida inakataa hadi utumie dish lao!kama vipi kawaone ofisi zao zipo kama unakwenda bagamoyo kuna kituo kinaitwa jogoo,teremka hapo,ulizia kanisa la AGAPE.utafika,tatizo lao hata namba za simu za huduma kwa wateja hazipatikani na zikipatikana hazipokelewi!​



  • Nakushukuru Kiongozi
 

Mazee hapo kwenye red umeniacha hooooooooooiiii!!
 



Uliipata/uliitoa wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…