Deconstructing Lowassa

Mkuu FMES,

makala yako ni painful truth,imenifikirisha sana na kuutambua ukweli huu.Hata hivyo mimi bado nina imani kwamba watu hawa watagombana tu na wananchi tutashinda.Hii ni kwa sababu kundi la Lowassa na majambazi weznie wameungana kulinda maslahi yao ila individually kila mmoja ana lake (friendship for convenience) hii maana yake ni kuwa tuassume wakifanikiwa kummaliza Muungwana wao pia watasambaratishana kwani presently their common "enemy" is Muungwana.Lakini miongoni mwao wana visasi,mf. ni Rostam ndiye aliyeongoza kampeni ya kumchafua Mkapa baada tu ya 2005 na sidhani kama Mkapa was happy with that.Hivyo itakuwa ni swala lile lile la ugomvi wa mtandao wa Kikwete kujirudia.Kifupi ni kuwa kuna mtandao mpya ambao haumhusishi Kikwete tena.Lakini watu hawa watatumia nguvu gani kummaliza Kikwete bdaaya kumjenga sana mwaka 2005?

Pili what's the role of Mizengo Pinda in all this?Maana katika analysis yote sioni akitajwa yuko na kina nani.The same for Warioba,Shein,Salim A. Salim and others...siamini kuwa wote hawa watakuwa pembeni tu kuona kundi la kijambazi la kina Mkapa-Lowassa-Rostam lifanye uhuni wao.

Bado ninaamini tuko katika mwendo ingawa vikwazo ni vingi.
 

Mhhh ... How dare????!!

Good Loard... Where are you coming from ..Hell? or where?

The good thing is; with such a blindness ..you can not catch up with what is realy going on the moment..and its on such error ..EL lost THE FIRST TIME and no way It will lead Him safely to THE SECOND! And This time it will be for good. Down... down there to the Bottomless Pit.

Get this very clearly.

Lowasa will use the MENTAL MUSCLES ON HIS FIGHT

Lowasa will use the EMOTIONAL MUSCLES ON HIS FIGHT

AND be SURE

LOWASA WILL BE PHYSICAL ON HIS GAME....and you know what this means...? closer to what Robert mugabe is doing AT THE MOMENT! And Lowasa will play much more harder!

And you know why that is soooo good?

Because by the the time He play the the three systems, He will not accept that He is doing such a foolish mechanics and this will give wananchi an advantage.

Which one?

He will expose to the outside what is resting down deep in Him...It was only Julius Kambarage Nyerere could see AND IDENTIFY IT...Or How how do you compare them?

All what you are assisting EL to achive? To expose to the world what he is.. and where he is coming from..and you know the place..it is the same place R Mugabe and Idd Amin are coming from. Their hell are vey compatible. Go and ask JKN.

What Lowasa is fighting is not those People you have listed and you are chasing...It is the system of Pure energies. THE SYSTEM OF ENERGY ROOTED BY JKN or rather God.

Make EL ask himself this question.. what % of the Tanzanians are coming from where JKN come from..which is not from where R Mugabe or Idd Ammin. ..the ruthless dictator come from.

And you know what ...soon we will have full blown two CCM parties...one coming from the good place(retaining what JKN rooted, the true ID of this national) and the other where you, Mugabe and EL are coming from.

AND GET this very clearly...

The war is between "JKN SYSTEM" AND "EL SYSTEM" That is between good and the bad enegy.

Deep energy system analysis shows that its obout 80% against 20% of Lowasa.

... I am telling you, he will be rejected on this soil of Tanzania like a wrongly trasplanted organ.

And you will come to know what realy Tanzania as country is ...

Please Good Loard;

Bless Tanzania and all people with Humanity, character and who are coming from a good place in their heart.
 
Samahanini sana lakini ni mazuri gani hayo ambayo lowassa ameyafanya...I am very curious to know?????
 
Ukiangalia trends utagundua Nguvu za sumaye, Now days , Mikutano yote Mhimu kuanzia ya kibiashara Mpaka ya Kidini amekuwa Mfunguzi, na Juzi juzi amesafishwa rasmi kwa kushinda kesi ya Ufisadi.

Lowassa alikuwa Mpinzani Mkubwa wa Sumaye na kundi lao na kina JK, Lakini baada ya Lowassa kujiunga na Kundi la Kina BM naaamini maandalizi yanaendele kwa nguvu Kumweka Sumaye Juu.

Mwisho wa Yote najua JK anawekeza Nguvu nyingi kwa kina Andrew Young na ninajua ndio kimbilio lake pekee lilibaki la kifedha katika kuwaweka wapizanzi wake pamoja.

Ninaaamini hakitatokea kipindi kingine kama hiki kihistoria ambapo wapinzani wako kwenye nafasi nzuri ya kutumia mgawanyiko wa CCM Kuingia madarakani na Mda ni sasa, kwasbabu wakichelewa CCM Kwa ajili ya urafi huungana kiurahisi sana wampatapo mgombea na huhakikisha wanashinda.

Kikwete anatakiwa kufanya kazi na wapinzani kuwamaliza nguvu kina lowasa sasa hivi, na njia pekee ni kumaliza nguvu yao ya kipesa kwa kuwafilisi na kuwafunga akifany
a hivyo Game imeisha hiyo ata set president plus stable leadership
 
KGBTz,
EL have made mistakes as a leader, because he was not afraid to make decisons, but he has achieved sooo much as well with the same style. On the mistakes, lets use some facts to judge, otherwise, its a big injustice.


Brother,
What Lowaasa is facing is not mistakes he made but well designed, premeditated act of grand corruption...under any legal terms you can't spin the truth my brother...We know what mistakes are!
 
Wana JF
Heshima mbele
Namuona Ndugu Sumaye naye ameanza kuonekana onekana kwenye ufunguzi wa masemina na makongamano.Huyu Ndugu nahisi naye anahesabu zake na ana watu wake pia...mwaka 2010 patakuwa hapatoshi....
 

Boy... Oh Boy!!!!! ooooooooohhh
 
Kweli Nimeamini El Yupo Kazini.
 
Achaneni na hayawani Lowassa!

FMES:

Ukiondoa John Cheyo wa UDP, kuna viongozi gani wengine wa upinzani wako kwenye pay roll ya fisadi Rostam Aziz? Je kuna kiongozi yoyote wa CHADEMA tufanye harakati za kummng'oa mapema? Dawa ya hawa manyang'au ni kujenga chama mbadala. Ili wakiwashinda mafisadi wenzao wakutane na hukumu ya wananchi, i mean nguvu ya umma!

Asha
 
Najua ziko na nimesha mtaja mmoja ni John Cheyo .Wengine sijapata hebu nipe basi hata kwa PM kama hapa huwezi kumwaga .Mgombea wa wao akina Lowasa ni Masha .
jamni nchi yangu tanzania ni wpi inapelekwa na wahun wachache.
 
Mkuu Asha,

Wewe nakuaminia kwa kutafuta dataz, wewe tafuta jipe time utawajua tu hawa jamaa kina Lowassa, wana dhana moja tu siku zote huwa wanatafuta vijana, ninamjua kijana mmoja wa Chadema aliyewakatalia!
 
Hii hali ndo inaonekana sasa kiasi kwamba mwakyembe ameamua kutoa statement jana kusisitiza hawakuonewa ili wananchi wajue kuwa EL and coy hawakuonewa kwenye issue ya RD.

Its very interesting kwani kuna data nyingine zitavuja sasa hivi kuusiana na RD ambazo EL ataweza kupona kabisa, labda wamuondoe mwakyembe duniani ndo wataweza kupanda juu tena.
 

Jamco.

Data ulikuwa na maana anachosema karamagi sasa? Kitamuosha EL?

Karamagi anahitaji jopo la majaji...what does that mean kwnye sakata lote hili....Ajisafishe yeye?...au anafikiri ..majaji watammaliza EL na kumuweka yeye clearn?
 
Mkuu wangu leo umepiga bonge la U-turn... You made my day mkuu!
 


Ni mwaka mmoja na miezi Minne tu!Umekwishasahau kama uliandika hivi!....Sie Watanzania sijui nani katuloga!
 
Mkuu wangu leo umepiga bonge la U-turn... You made my day mkuu!

Mkuu, ukiona hivyo ujue huenda ile kazi ya kumsafisha inaelekea kukamilika. Usifanye mchezo na wanasiasa.

Pili, huende 'tulikosea' kumwona 'hafai' kutokana na matukio ya sasa hivi kwenye taifa letu na hivyo haja ya kumrejesha 'nabii' wetu Lowasa.

Iwe iwavyo, vita kati ya zile kambi mbili ni ngumu kuliko ilivodhaniwa na haitabiriki, kama hivi.
 
Ni mwaka mmoja na miezi Minne tu!Umekwishasahau kama uliandika hivi!....Sie Watanzania sijui nani katuloga!

Mwawado,

Sijasahau na nafahamu fika nilichokiandika June 2008 na hata kabla ya June 2008 kuhusu Lowassa!
 

Kwa taarifa, sijamsafisha Lowassa kwa alichotuhumiwa au nilichokisema. Nimeainisha baadhi ya vitu vya kiutendaji ambavyo alivifanya pamoja na bugudha niliyokuwa nayo ya kuona alichokuwa akikifanya ni batili kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…