Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Habari wakuu,
Nimesubiria story of change competition ianze naona haiji. Lol
Nimekutana na hii kitu ya Data Science in Agriculture...nikaona ni share na nyie.
Specific Kuna Decision Support Systems (DSS's) kwenye Data Science in Agriculture.
Use of data to support Agriculture systems... Una explore data ambayo ita facilitate decision-making , which eventually ita optimize Agriculture Productivity.
Nimeona specific wakulima wanaweza kutumia Data , kujua kutokana na mazingira walime muda gani, walime nini, kwa kiwango gani, ufanisi wa gharama (Cost effectiveness), Best Alternatives, na kama kutakuwa na effects za unforeseen circumstances, etc.. Na serikali inatumia data ku monitor trends, ili na yenyewe ifanye decisions zitakazosaidia wananchi kupitia KIlimo
Sijui kama tayari systems ya hivi tayari ina exist Tanzania.
Kama haipo mimi nadhani itakuwa nzuri kuijumuisha kwenye maamuzi ya serikali.
Kwa mfano, una explore labda zao fulani eg Parachichi linahitajika zaidi China at this time of the year.
Then unawaambia labda watu wa mkoa fulani walime zao hili at this time na labda kuongeza chances za kuuza na kuondoa competition serikali baada ya kuexplore data 😀 inawaambia wakulima specific maparachi yanayohitajika ni yale makubwa than average, yasiyo na kemikali hivyo wasitumie mbolea zenye kemikali nyingi, (sio mkulima mie, huu ni mfano tu.. 😀), labda serikali kazi yake inakua tu kutafuta Masoko tu huko Nje.
Mimi nahisi Serikali ikishirikiana na wakulima kupitia hii system, tutaona matunda.
Sababu tumebarikiwa ardhi kubwa tu (44 Millions Hectares), out of this only 33% is used in Agriculture(Sijajua current status, niliandika thread last year, LOL)
65% ya Total employment (Workforce) iko kwenye Agriculture in Tanzania.
So unaweza kuona, Tuna large arable land, tuna workforce kubwa kwenye Agriculture yet the output is small/Faida ya kilimo tuñaiona ni ndogo.
Nahisi tuki optimize Agriculture Productivity kwa kutumia Data, tutaongeza sio tu Food security, bali pia revenues na kuboost our economic prospects.
Agriculture ni one of the areas Tanzania inaweza ika unlock her potential.
Nini mawazo yenu kuhusu hili.
Karibuni.
Becky.