Decision making- semina elekezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Decision making- semina elekezi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Jun 9, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Haya katika ufutilia mwenendo wa siasa na uongozi nchi mwetu nmegundua kuna tatizo moja nalo ni la kufanya maamuzi kwa lugha ya kimomdbo tunasema decision making.

  Najua viongozi wa serikali ,mashirika na taasisi wanahudhuruai semina elekzi nyingi lakini nina wasi wasi kwenye semina elekezi walizohudhuria wamewahi kukumbushwa


  • umuhimu wa kutumia njia, nyenzo na taarifa sahihi kabla ya kufanya maamuzi ya kitendaji
  Kuna nyenzo rahisi mfano inaitwa decision tree inayoweza kutumika kuumpa picha decision maker

  • Faida au hasara ya kila amuzi atalofanya
  • Faida za muda mfupi na muda mrefu wa kila maamuzi atakalofanya
  • Gharama na kila maamuzi
  • Risk ya kila maamuzi
  Karne hii kuna mifumo ya computer inayoitwa Decision Support system ambayo data sahihi zikiingizwa basi Decison makers wetu wangefanya maamuzi sahihi ya kifedha, afya , elimu etc.

  Je

  • Je wizara idara mashirika yantumia decsion making model gani katika kugawa tender,kuwekeza,kubinafsisha, kuajiri, kupanga bajeti?
  • kuna mambo tunshindwa kupiga hatua sababu viongozi wetu ni risk taker katika maamuzi yao

  • kuna shemu tunashindwa kupiga hatua sababu viongozi wetu ni risk avoider katika maamuzi yao

  • Sekta gani au maamuzi gani ya yainahitaji decison maker amabao ni risk taker na sekta au viongozi gani wanataiwa kuwa risk avoider?
  Wenzetu kwenye karne hii ya sayasi na Teknolojia hawafanyi tu maamuzi kwa uzoefu. This world we are living is complex na kuna factor nyingi za kuzingatia ambazo kichwa cha binadamu sio rahisi kuinyambulisha zote na kufanya maamuzi bila msaada wa teknolojia. Ndio maana katika mifumo ya kompyuta una system zinaitwa Decision Suport system ( DSS)

  Kwa article mbali mbali la hili somo nyeti hasa kwa viongozi tembelea au mnaweza ku google Decision Making process.
  http://www.decision-making-confidence.com/decision-making-models.html
  http://www.decision-making-confidence.com/decision-making-models.html
  http://www.freeworldacademy.com/newbizzadviser/fw23.htm


  Karibu tuenedlee kutoa semina elekezi huru ...

  Mtazamaji
   
Loading...