Jendahyeka 01
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 212
- 166
Umeelewa mada lakiniUKIMWI sio ugonjwa
Nini maana yake? Unapo sema UKIMWI ni ugonjwa unakosea sana, na kama ni ugonjwa basi hii dunia kila mmoja ana ugonjwa huo.
Neno UKIMWI kirefu chake ni Upungufu wa Kinga Mwilini, bimana ukiwa na UKIMWI unakuwa na upungufu wa kinga katika mwili wako. Sasa kuwa upungufu kwa Kinga Mwilini ni ugonjwa???
Mfano mzuri katika suala hili ni kama hivi. Mtu mwenye UKIMWI ni sawa na mwenye UNGUKI yaani Upungufu wa Nguvu za Kiume, matendo haya yote yanarandana sawa kabisa kwa asilimia zote. Tendo moja linaonyesha upungufu wa Kinga mwilini na upungufu wa nguvu za kiume. Hivyo basi kama ata UKIMWI ungekuwa ni hatari na unaua hivyo hivyo UNGUKI ungekuwa ni hatari zaidi tena ungeua watu zaidi ya UKIMWI.
Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) mpaka unampata binadamu ni kutokana na aina ya maisha anayo ishi. Hivyo hivyo katika Upungufu wa Nguvu za Kiume (UNGUKI) kuna aina fulani ya maisha ambayo mwanaume anaiishi ndio maana hutokea hivyo kama vile kupiga punyeto nakadhalika. Ndio maana kila kukicha watu wanazuka na madawa mbalimbali ya kuongeza nguvu za kiume, inamaanisha nini hiyo? Nguvu hupungua ila kuna uwezekano wa kuzirudisha.
Kama Upungufu wa Nguvu za Kiume (UNGUKI) kuna uwezekano mkubwa wa kurudisha nguvu za kiume iwe vipi Upungufu wa Kinga mwilini (UKIMWI) iwe ngumu kurejesha kinga mwilini? Aina ya maisha tunayo ishi, vyakula tulavyo hupelekea hayo yote kutokea kama tukifuata njia nzuri na sahihi hakika tutakuwa na nguvu na kinga nzuri zaidi.
Kuna watu wanasema Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) hautibiki huo ni uongo mkubwa tena sana. Yaani mnataka kutuambia hakuna madawa ya kuongeza kinga mwilini kweli. Kama Upungufu wa Nguvu za Kiume unatibika basi ata Upungufu wa Kinga Mwilini unatibika pia.
NB: Sijasema UKIMWI haupo, UKIMWI upo yaani Upungufu wa Kinga Mwilini.
MGC
Mkuu nilikuwa natoa maana kuhusu UKIMWI. Samahani sana kwa Kwenda kinyume na mada husika.
ππΎAngalia Maana Ya Neno Deception Kwenye Dictionary Ndipo Utakapo Gundua Kuwa Anayoongea Yanasadifu Jina Lake
Wewe ndo unatumia ile fimbo ya Asclepius? Ndo maana Deception amejificha, ila wenye akili hatucomment hapa, ili wajinga muendelee kuwa wajingaHuyo deception binafsi nashauri akamatwe akakae jela tu maana anaongeza maambukizi
masterplanner Nov 22, 2015
Kaka Deception, mambo vipi? samahani mkuu kwa kukufata inbox, nina problem moja naomba unisaidie kwa ushauri wako Mkuu. Nilipima HIV mwezi wa nne mwaka huu, nilikutwa positive, na nilipima mara 2, lakini sikushtuka kwasababu niliwahi kusoma hizi facts siku nyingi tu. Ila hali ya kuwa positive huwa inanikera sana. Ni udhaifu upi ambao upo nyuma ya vile vipimo vya HIV? na je kuna namna ambayo mtu anaweza ili vile vipimo vimdetect negative? Naomba msaada wako, maana tangu nipime mwezi wa nne sina hamu ya kupima tena, maana naona kama nitajipa stress tu.
Ukiisoma hiyo comment ya mwaka 2015 unaweza elewa namaanisha nn
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duhhhh Jamaa aliandaa had group la whatsap.... Mhhhh ana lengo gan huyu.....alitufukuza kwenye group lake la whatsap baada ya kum-challenge na hivyo vi uongo uongo wake kuhusiana na mambukizi ya ukimwi
Ila huyu Deception bado yupo au nae kesha ukwaa that why yupo so kimya
Sent using Jamii Forums mobile app