Jendahyeka 01
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 212
- 166
Humu JF kuna member maarufu sana anaitwa deception huyu bwana ni miaka mingi humu JF alikuwa anapinga swala la uwepo wa VVU/UKIMWI. Kutokana na utafiti mwingi ambao huwa anaufanya katika maandiko mbali mbali, pia aliweza kupata wafuasi ambao walimuunga mkono hoja zake. Na wengine tukajikuta kati kwa kati Sasa naomba kumuuliza mkuu Deception..vip kuna nyongeza yoyote ya tafiti au bado ni zilezile za miaka ileile na kama atakuwa amegundua uwepo wa VVU/UKIMWI pia sio mbaya kutujuza...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app