Njoo kwetu.Wow! Wow!
Kibakari nondo😃dronedrake uoe Sasa uitaishi Kijemsi Bondi Hadi lini ?
anachanya mikono tu leo wa kushoto kesho wa kuliadronedrake uoe Sasa uitaishi Kijemsi Bondi Hadi lini ?
Roho mbaya tu.😂Oya nimebookmark huu uzi kmmmk
Tuone.
Japo umenichamba, ila unenalo likapate kutimia.Njoo kwetu.
Ndugu yetu anataka kumaliza show. Kule Alhamdulillah kunakuchelewesha.
Usibaki tu kusema Wow! Wow!.
It is your turn.
Oya nimebookmark huu uzi kmmmk
Tuone.
Thanks cute!..
Ukishapigwa tukio uje utupe mrejesho piaLeo nimefanikiwa kung'oa pisi ya kingoni mixture mnyakyusa,,,,,Ndagaa fyijoooView attachment 2856925