Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 14,965
- 21,056
Mkono wa baunsa tena!Anakuja kushambulia kutokea kulia wakati yeye anatumia mguu wa kushoto. Sisi wachambuzi tunamuita "orthodox winger"
Mkono wa Baunsa tunategemea sana japo wamejaribu "kumblack mail" kwa kufungulia kanisa.
Acha kufukua makaburi mkuu!
Video hiyo niligoma kuifuta!
Wanaume tunadhalilikaga sana kipindi cha kuukwea mlima waalah!
Mchungaji anaunguruma kama simba kwene kifua cha kahaba!
Hilohilo alilokuwa akiligonga ndiyo lililomrekodi kudadeki😆😃🤣🤣😉