Dec 6 Askofu atakuja kama Winga wa Kulia

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Ametokota akarojeka. Hajui kilichombele yake. Haehe! Halula! Nilisema soon huu ujinga wakomeshwa. Jazeni ulinzi Chooni. Heheee! Bafuni hehee! Litakufa jitu.

Na bado. Najuzwa Yule askofu sasa ataingia kama sub super akiwa winga ya kulia. Dec 6 kuna Jambo. Semeni nisiseme.

Walahi watu wabaya. Hawajui chuma yatatokea wapi hehee! Miye sijui naigopa walahi. Dec 6. Desimal place 11. Log 19. Barabara ya kumi. Memeee! Habari wanazo. Mjiapize walahi. Na bado
 
Sijakuelewa nirahisishiye hapo kwenye wings na ametokota(aliyetokota ni nani?)
 
Ametokota akarojeka. Hajui kilichombele yake. Haehe! Halula! Nilisema soon huu ujinga wakomeshwa. Jazeni ulinzi Chooni. Heheee! Bafuni hehee! Litakufa jitu.

Na bado. Najuzwa Yule askofu sasa ataingia kama sub super akiwa winga ya kulia. Dec 6 kuna Jambo. Semeni nisiseme.

Walahi watu wabaya. Hawajui chuma yatatokea wapi hehee! Miye sijui naigopa walahi. Dec 6. Desimal place 11. Log 19. Barabara ya kumi. Memeee! Habari wanazo. Mjiapize walahi. Na bado
Ni super sub siyo sub super shekh.
Anyways Na bado
 
Wakati ule alisababisha penalti dakika za mwisho na serikali ikafungwa gori. Safari hii nayo atakuja dkk za mwisho tena?
Anakuja kushambulia kutokea kulia wakati yeye anatumia mguu wa kushoto. Sisi wachambuzi tunamuita "orthodox winger"

Mkono wa Baunsa tunategemea sana japo wamejaribu "kumblack mail" kwa kufungulia kanisa.
 
Back
Top Bottom