debe moja la mpunga linatoa kilo 10,,,kwa maana hyo gunia moja la mpunga linatoaa kilo100,,lakin inategemeana na upimaji wako kama haupimi vizur,,gunia linaweza toa hata kilo 90Habari wakuu, nasikia kipindi cha mavuno mpunga hufikia hadi elfu tano kwa debe moja na gunia hufikia hadi elfu hamsini. Swali langu ni kwamba hili debe ukikoboa unatoa kg ngapi za mchele? Na hili gunia pia unaweza ukatoa kg ngapi? Naomba sana majibu yenu nataka kuingia ktk hii biashara ili niwe na takwimu sahihi.
Estimation nzuri kabisa.Debe 1 la mpunga kinatoa kilo 8-9 na gunia la mpunga kinatoa kati ya kilo 50-60.
Mkuu hilo gunia la mpunga lenye kutoa kilo 100 ni Rumbesa au la kawaida lenye madebe 6?debe moja la mpunga linatoa kilo 10,,,kwa maana hyo gunia moja la mpunga linatoaa kilo100,,lakin inategemeana na upimaji wako kama haupimi vizur,,gunia linaweza toa hata kilo 90
Kwani gunia lina debe ngapi mkuu?debe moja la mpunga linatoa kilo 10,,,kwa maana hyo gunia moja la mpunga linatoaa kilo100,,lakin inategemeana na upimaji wako kama haupimi vizur,,gunia linaweza toa hata kilo 90
Hii ndio sawaDebe 1 la mpunga linatoa kilo 8-9 na gunia la mpunga linatoa kati ya kilo 50-60.
Mm ni mkulima morogoro kama unataka kweli kuingia kwenye biashara hii nitafute wakati wa mavuno nikununulie mpunga kijijini kwetu na vijiji vya jiraniHabari wakuu, nasikia kipindi cha mavuno mpunga hufikia hadi elfu tano kwa debe moja na gunia hufikia hadi elfu hamsini. Swali langu ni kwamba hili debe ukikoboa unatoa kg ngapi za mchele? Na hili gunia pia unaweza ukatoa kg ngapi? Naomba sana majibu yenu nataka kuingia ktk hii biashara ili niwe na takwimu sahihi.
Ukikoboa mpunga, unapata mchere takiribani nusu ya mpunga ulio ukoboa!!! Kwa gunia la debe 8 ukikoboa utapata debe 4-5 za mchele!!!Habari wakuu, nasikia kipindi cha mavuno mpunga hufikia hadi elfu tano kwa debe moja na gunia hufikia hadi elfu hamsini. Swali langu ni kwamba hili debe ukikoboa unatoa kg ngapi za mchele? Na hili gunia pia unaweza ukatoa kg ngapi? Naomba sana majibu yenu nataka kuingia ktk hii biashara ili niwe na takwimu sahihi.
Poa poa mkuuYaani napata somo sana bro yumbayumba ni pm nipe contact
Yaah uzito wa mpunga unategemea na mbegu, zipo mbegu aina nyingi na zinatofautiana bei ya guniaUkikoboa mpunga, unapata mchere takiribani nusu ya mpunga ulio ukoboa!!! Kwa gunia la debe 8 ukikoboa utapata debe 4-5 za mchele!!!
Uzito unategemea na mpunga wenyewe ulikomaa kwa kiwango gani? Pia nadhani hata eneo kwa maana rutuba ya shamba ulipo toka
Upo morogoro sehemu gani?Mm ni mkulima morogoro kama unataka kweli kuingia kwenye biashara hii nitafute wakati wa mavuno nikununulie mpunga kijijini kwetu na vijiji vya jirani