Debate: Zimepoteza umaarufu?

Debate: Zimepoteza umaarufu?

ntabhaligwa

Senior Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
141
Reaction score
104
Kwa miaka mingi njia ya majadiliano ya hoja zinazokinzana maarufu kama 'debate' imekuwa ni kivutio kikubwa kwa wasikilizaji, sio tu kwa mada zinazojadiliwa bali hata kwa namna na mtindo wa uwasilishaji. Sasa hivi debate zimebaki mashulen na vyuon zaidi. Gwiji wa debate (pengine ndie mtu aliyefanya debate nyingi sana kuliko mtu yeyote duniani) Shk Ahmed Deedat atakumbukwa kwa uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja na kujibu maswali baada ya debate, Aliwahi kuomba debate na Papa wa R.C kwa miongo kadhaa na kuahid kugharamia gharama zote zitakazotokana na debate lakin Papa alikataa! Pengine hapo ndio linakuja suala la katika majadiliano upo upande gani? una ujuz wa kutosha wa unachokitetea?Yote ikiwa unayo linabaki moja Je unatetea haki na ukweli? Ahmed deedat alishinda deebate nyingi kwa sababu licha ya kuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja alitetea haki na ukweli. Shk Deedat aliacha wanafunz kadhaa lakin aliyejitokeza kuwa na kipaji kikubwa ni Dr. Zakir Naik. Hebu tujikumbushe debate maarufu iliyofanyika Marekan ikimhusisha Dr. William Campbel na Dr. zakir Naik katika mada 'The Quran & the Bible in the light of science.

 
'Debate' Zimepoteza umaarufu? Kwa miaka mingi njia ya majadiliano ya hoja zinazokinzana maarufu kama 'debate' imekuwa ni kivutio kikubwa kwa wasikilizaji, sio tu kwa mada zinazojadiliwa bali hata kwa namna na mtindo wa uwasilishaji. Sasa hivi debate zimebaki mashulen na vyuon zaidi. Gwiji wa debate (pengine ndie mtu aliyefanya debate nyingi sana kuliko mtu yeyote duniani) Shk Ahmed Deedat atakumbukwa kwa uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja na kujibu maswali baada ya debate, Aliwahi kuomba debate na Papa wa R.C kwa miongo kadhaa na kuahid kugharamia gharama zote zitakazotokana na debate lakin Papa alikataa! Pengine hapo ndio linakuja suala la katika majadiliano upo upande gani? una ujuz wa kutosha wa unachokitetea?Yote ikiwa unayo linabaki moja Je unatetea haki na ukweli? Ahmed deedat alishinda deebate nyingi kwa sababu licha ya kuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja alitetea haki na ukweli. Shk Deedat aliacha wanafunz kadhaa lakin aliyejitokeza kuwa na kipaji kikubwa ni Dr. Zakir Naik. Hebu tujikumbushe debate maarufu iliyofanyika Marekan ikimhusisha Dr. William Campbel na Dr. zakir Naik katika mada 'The Quran & the Bible in the light of science.


 
Hapa ni Gwiji wa Debate Shk Ahmed Deedat akifanya vyake na Jimmy Swagart, hiyo ilikuwa tukio la aina yake maana wakati huo Rev. JIMMY alikuwa na wafuasi wengi sana marekani na dunia nzima . Wakat wa maandaliz ya Debate shabiki mmoja wa Ahmed Deedat alimnasihi asiende Marekani kufanya debate hiyo maana alimfaham vizur Jimmy Swagart na kwamba Deedat atashindwa vibaya sana. Hivyo kulinda hadhi yake asifanyi nae debate, Lakin alikataa na kufunga safar kutoka Durban S.A hadi Marekani, kilichotokea unaweza kkuangalia
mwenyewe!!!!!!!!

 
Hapa chini Brother Ahmed Deedat with Paulo, katika mada ya kusulubiwa kwa Yesu, kuna ukweli?

 
Back
Top Bottom