Debate: Upungufu wa nguvu za kiume in tatizo LA kisaikolojia zaidi kuliko LA kibaiolojia.

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Ukiachana na umasikini, jambo jingine linalomshushia mwanaume heshima na kujihisi mpweke ni ukosefu wa nguvu za kiume. Hili limekua tatizo kubwa sana ambalo kwa wengine wamechukulia kama fursa ya kutapeli watu na kuvunja mahusiano ambayo wameyachoka.

Sikh hizi bora ili umunyong'oneze mwanaume..we mwambie "hujanilizisha" utamfanya akili yake iwaze usiku mchana na kujisikia ana hatia sana.

Kuna watu wanaamini kwamba upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo la kibaiolojia na kuna wengine wsnasema ni mitazamo ya watu tu. Mfano, Inasemekana wachina wanaogopa kuoa waafrika kwa sababu wanawake wakiafrika wanamaumbile makubwa yaani K zao ni kubwa na wachina wanavibamia yaani MB ndogo!

The floor is yours!!!!
 
Pia lishe duni ndio sababu kuu kwa watu wanao ishi dar kuupata unga wa muhogo na samaki maji baridi na mchicha pembeni ni kama elfu 10 ukipiga mchana na jioni ni 20 bado chai hapo mtu akipiga hesabu bora apige chipsi kavu buku jero na ukijumlisha na miangaiko huwezi kupata nguvu za kupiga mechi
 
Wamasai komaeni hapa hapa Dar na mitishamba 7bu walaji wa kuku mataira, chipsi mayai, urojo, pizza, baga, na mazoezi ni dhambi tumejaa tele, hatutaki nguvu za kiume 7bu kila Mtu na maisha yake.
 
Kuna watu wanaamini kwamba upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo la kibaiolojia na kuna wengine wsnasema ni mitazamo ya watu tu. Mfano, Inasemekana wachina wanaogopa kuoa waafrika kwa sababu wanawake wakiafrika wanamaumbile makubwa yaani K zao ni kubwa na wachina wanavibamia yaani MB ndogo!

Nadhani ni kweli ni suala la kisaikolojia zaidi ya kibaolojia. Unajua kuna watu wanakosa nguvu za kiume kwa wake zao tu, lakini akipata mchepuko mpya hizo nguvu zinarudi kwa namna ya ajabu sana. Na kuna wengine ili apate nguvu za kiume akiwa na mkewe basi inabidi amuwazie mwanamke mwingine. Kuna wengine inabidi aangalie pornography.

Jiulize hhiyo ni saikolojia au baiolojia?
 
Hapo umeongea
 
Pia magonjwa kama kisukari huchangia kutokuwa na nguve za kiume
 
Back
Top Bottom