Mkuu kwa nini usiombe Debeti ya kujadili Tanzania kuto kufanya vizuri EAC? kwa nini Kenya imewekeza sana Tanzania kuliko Tanzania ilivyo wekeza Kenya? Je hao Zitto na Lema wana faida gani?
Siku za karibuni pamekuwa na mvutano kati ya waanasiasa machachari Godbless Lema na Zitto Kabwe ambayo kwa kiasi kikubwa imeanzia kwenye mitandao ya kijamii na ambapo issue ya Posho ilikuwa ni immediate factor ya tofauti baina ya Zitto na Lema. However Lema na kundi lake wamekuwa wakimpaint Zitto kama "snitch" ndani ya chadema. Na kundi la Zitto limekuwa likirespond toward the so called "trivial allegations" kuwa Lema hana hoja anatumika tu kumchafua zitto
Jana pamekuwa na malalamiko kuwa Zitto kabwe kapewa enough air time na Cloudsfm kuongea so pamekosekana balanced story na pamekuwa na hoja Za upande mmoja.
Ombi letu tunaomba debate ya hawa vijana wawili, ikiwezekana tuombe kipindi "cha tuongee asubuhi pale star tv" ama hapa hapa JF. Pembeni akae GODBLESS Lema na pembeni Zitto Kabwe. Tuamue uwezo wa hawa vijana kwa hoja na sio siasa za kusaidiana na kuchafuana. Jana Zitto kasema yeye ndie kamfundisha Lema siasa, na tuone kati ya mwalimu na mwanafunzi.
Mods naomba kama itawezekana muwasiliane na hawa vijana machachari debate ikifanyikia hapa JF litakuwa ni jambo jema zaidi.
Wewe Sixgates hapa sio CCM,nenda kawapambanishe viongozi husika juu wizi wa nyara za serikali-tembo 61 wanaangamia kila siku....! Washauri CCM wafanye huo mdahalo na waziri kivuli wa CDM kwa faida ya wanainchi,kama kweli unataka mabadiliko ya fikra na uwajibikaji.
Wewe ulishafukuzwa CDM, inakuhusu nini siasa za CDM hata utake kuwa na mdahalo wa posho za wabunge.....??? Umeliona hilo ni la maana sana kuliko hao tembo 61 wanaopote a kila siku....???? THINK BIG p/se...!!!

Wewe usinipangie debate nazozitaka, ungeomba wewe hiyo ya east africa. Wewe kama huoni faida ya debate kati ya zito na lema basi waachie wenzako wanaopenda. By the way since when umekuwa JF member's spokeswoman?