AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Nimekaa south Africa 2007/2008 hakuna madai yao ambayo Sio sahihi wanaishi maisha ya shida ajira zao zimechukuliwa na wageni kwa asilimia kubwa na wao kuishiwa kutukanwa(hata na wageni hao kuwa ni wavivu na walevi) wakati hata kazi hizo hawapewi kufanya.
You got it right mkuu[/QUOTE
Ni ngumu kuisemea south kama hujakaa ndani ya ile nchi na kuvaa viatu vya wale watu.
Ndugu ukifika cape Durban Jo berg na pretoria ukaona maisha ya hao unaosema hawakupaswa kuguswa utabadili usemi(sorry kama umefika)ila watu wabaya wamewaharibia hata waliokuwa wema kuguswa ni muhim hatukuwasaidia ili baadae tukae kwao na kuchukua ajira zao na kufanya uhalifu ambao unaifanya nchi yao kuchafuka na kuonekana wao ndio wabaya tuliwasaidia ili wawe huru na kuwaachia nchi yao hapakuwa na deni wala mkataba wa makazi tuiboreshe tanzania yetu na kuifanya sawa kwa kila mtu.Mimi nikikumbuka nguvu kubwa au fedha aloitumia Nyerere kuzisaidia hizi nchi ziwe huru,Mtanzania akupaswa kuguswa katika Afrika,Nanyamaza kimya tu kwa heshima ya Mandela.
wengi wao wamezaliwa baada ya 1990hivi hawa wasouth wamesahau kuna ndugu zao nchi zingine afrika. Nimefuata mitandao zao kule facebook wanaongea uharo aisei.