inakuwa kazi bure kivipi hebu mtuhabarishe kwani mnaweza mkubadili hiyo imei number? toa maarifa mtu wa simu.
asante kwa kutuhabarisha ila kifupi cm ikifungwa na provider uwezi kuifungua popote duniani bila kuifungua kwanza kwani itakuwa nitambua provider huyo huyo alofunga unazoona zinakuja uku zinafanya kazi ni mpaka ziunlokiwe au kuflashiwa zinafanya kazi kama kawa ata ikurudi tena uk inafanya kazi
DUH!drphone
nazungumzia simu iliyoibiwa ikaripotiwa huwa inafungwa sio simu iliolockiwa to particular network.nafikiri umenielewa.
Eti eeeeh?
drphone
nazungumzia simu iliyoibiwa ikaripotiwa huwa inafungwa sio simu iliolockiwa to particular network.nafikiri umenielewa.
nimekuelewa mkuu na mm nijb kwa yote yani iloripotiwa na zile zilizolokiwa to one operator mkuu zote system ni moja tu