Dear Whitemen, we say NO to HOMOSEXUALS & LESBIANS

Dear Whitemen, we say NO to HOMOSEXUALS & LESBIANS

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
1623654_10152211508914857_700754505_n.jpg 1800201_10152211508184857_1155305044_n.jpg 1794697_10152211508489857_538502338_n.jpg
​

Dear whitemen,
  • U asked us to wear coats under hot sun, we did;
  • U said we should speak your language, we have obediently ignored ours.
  • U asked us to always tie a rope around our necks like goats, we have obeyed without questioning.
  • U asked our ladies to wear dead people's hair instead of the natural hair God gave to them, they have obeyed.
  • U said we should marry just one woman in the midst of plenty black angels, we reluctantly agreed.
  • You said our decent girls should wear catapults instead of the conventional pants, they have obeyed.
  • You asked us to use rubber in order to control our birth rate, we agreed yet we all know sweetness of live SEX!

Now U want our MEN to sleep with fellow MEN & WOMEN with fellow WOMEN
so that God would punish us like Sodom and Gomora?


White folk, we say Nonsense!! We don't agree with U this time! As proud Africans, we say a huge NO to GAY relationships.

:A S thumbs_down: Say NO to HOMOSEXUALS & LESBIANS :A S thumbs_down:​
 
Sema 'I', not 'we'
Kuna watu hapa mtu akiwakosea tu, utasikia, mf.r., hata hao ni homo.

Bora tu waowane watulie na wake zao wa jinsia moja.
 

Ndoa za kweli zenye heshima mbele ya wanandoa, ndugu, jamaa, marafiki na ulimwengu, hazina ukakasi wa kutokea mbele ya hadhara, zenye maana halisi ya jinsia tofauti kwa mpango wa Muumba wetu wa zaeni na kuijaza dunia. Maana halisi ya ndoa ni ya mke na mume kwa pamoja kuzaa matunda yao ya kuijaza nchi.

Hii ya wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake ni kichefuchefu​
 
Sema 'I', not 'we'
Kuna watu hapa mtu akiwakosea tu, utasikia, mf.r., hata hao ni homo.

Bora tu waowane watulie na wake zao wa jinsia moja.

We represent the majority african people, most of us don't prefer such life stile.
 
Really we have strongly to say NO to homosexuality!
 
Kitu ambacho kinantatiza ni kitendo cha rais wetu kushindwa kutoa a BIG NO to such marriages wakati akihojiwa CNN instead akashikwa kigugumizi cha ghafla akiogopa kuwaudhi wazungu.
 
Kitu ambacho kinantatiza ni kitendo cha rais wetu kushindwa kutoa a BIG NO to such marriages wakati akihojiwa CNN instead akashikwa kigugumizi cha ghafla akiogopa kuwaudhi wazungu.

images.jpg

Jibu lake kwamba kwa Tanzania itachukua muda kupokeleka ushoga ina maana anakubaliana na nchi za magharibi kuhalalisha ushaga, amekosa ushupavu, ni dhaifu na mwoga. Akiambiwa anashabikia ushoga kwa lile jibu lake kwamba Tanzania itachukua muda kupokeleka ushoga kwa Tanzania na Afrika atajenga utetezi gani idara yake ya kukanusha ya akina Rweyemamu itakuja kuitisha vyombo vya habari kutoa kanusho la kauli yake
 
------- mzungu, obama na cabinet yake yote na walaani kwa jina la yesu na moto wa milele utawala.
 
Hii mizungu ilishalaaniwa haki ya mama, halafu....... hawa wanaolazimisha nchi nyingine zihalalishe ushoga sijaona hata mmoja ameoa mwanaume mwenzie. Obama kaoa mwanamke tena mweusi mwezie, David Cameron naye kaoa mwanamke tena mzungu mwenzie, Ban Ki Moon naye kaoa mwanamke kama sikosei Mkorea mwenzie (Mongoloid) Hawa mabwana wa Denmark, Norway sijui Netherlands wote wako kwenye heterosexual marriages. Sijui kwanini wanataka sisi tuhalalishe upuuzi, kama wanayafurahia kwanini hawakuoa wanaume wenzao au Ke nyenzao? Sijajua msimamo wa Clinton ila yeye aliona yule mkewe bibi hamtoshi akaamua kumpanda housegirl wake Monica Lewinsky.

These guys are joking, they can't be serious haki ya mama!!!!!!
 
Washanichoshaa kwelii hawa watu wa Obama!!!!!!!!
 
Washanichoshaa kwelii hawa watu wa Obama!!!!!!!!

Umaskini unatuingiza kwenye utumwa. Tunahitaji viongozi wenye ushupavu kama alivyokuwa Nyerere, alichofanya Museven angetakiwa kuungwa mkono na viongozi wengine katika bara hili.
 
Hii mizungu ilishalaaniwa haki ya mama, halafu....... hawa wanaolazimisha nchi nyingine zihalalishe ushoga sijaona hata mmoja ameoa mwanaume mwenzie. Obama kaoa mwanamke tena mweusi mwezie, David Cameron naye kaoa mwanamke tena mzungu mwenzie, Ban Ki Moon naye kaoa mwanamke kama sikosei Mkorea mwenzie (Mongoloid) Hawa mabwana wa Denmark, Norway sijui Netherlands wote wako kwenye heterosexual marriages. Sijui kwanini wanataka sisi tuhalalishe upuuzi, kama wanayafurahia kwanini hawakuoa wanaume wenzao au Ke nyenzao? Sijajua msimamo wa Clinton ila yeye aliona yule mkewe bibi hamtoshi akaamua kumpanda housegirl wake Monica Lewinsky.

These guys are joking, they can't be serious haki ya mama!!!!!!

Wanatutwisha mizigo wasiyobeba wenyewe wala kuigusa hata kwa nchi za vidole vyao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom