Dear Wema...

Tatizo la watu wanajifanya wanauchungu na watu wasiowajua wakati huo ushauri badala akomae kuwapa ndugu zake anakomaa kutia sugu vudole vyake..
 
So kupata mabwana wa maana ndo kujielewa wte wana maovu yao sema hawajaamua kuish kama wema sitetei anayofanya wema ila pia sijapenda hyo point ya kwamba wao ndo wanajielewa kwa kupata mabwana wenye maana kama mabwana hata wema anao wenye hela huyo jack pia alishakuaga na maskendo yake kibao uko nyuma sema kakua sa hizi kaacha na wema nae mda ukifika ataacha tu mbna sintah katulia sa hizi kuna mtu aliandikwa kama sint??

Kumbe Sintah kaamua kutulia?
Na ule ugomvi wake na Edo Kumwembe ilikuwa bado hajatulia ama?Napitwa na mengi...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Wema hawezi kuwa na umri wa miaka 23... ina maana alipata taji la Miss Tanzania akiwa na miaka 15 au 16?? Je masharti yanaruhusu washiriki wawe under 18??

Wema anadanganya umri wake.. watu wakijua yeye kijeba. hauzi tena...

na hayo ma-bleach na mchina.. atakufa mdogo sana.... unless abadilike amrudie Mungu..

Mdogo kivipi na umesema hana 23 yrs?

"Nlikuwepo":bolt:
 
The power of love jamani tusiipimie eeh mapenzi hayashauriki.! Inawezekana wenyewe waliamua tu kubadilisha ladha baadae wakaona nothing new wamerudiana.
 
Mie najionea vyangu mashaka tu nakule visiwan kuna watu wanasema kunaniramba jaje tu hebu ntia niondoke hahahhahahahaha
 
Wema hawezi kuwa na umri wa miaka 23... ina maana alipata taji la Miss Tanzania akiwa na miaka 15 au 16?? Je masharti yanaruhusu washiriki wawe under 18??

Wema anadanganya umri wake.. watu wakijua yeye kijeba. hauzi tena...

na hayo ma-bleach na mchina.. atakufa mdogo sana.... unless abadilike amrudie Mungu..

Labda kama ana miaka 26 au 27, ila anapoteza muda kupenda kick za media. Hivi baba yake si alikua balozi vile ???
 
Nawapenda sana nancy sumary...hoyce temu.faraja kota..Jacqueline ntuyabaliwe..nasreen kareem...namamiss wa nyuma almost wote wanajielewa na wanamaisha yenye mafanikio sababu ya kujituma na kujiheshimu..cheki kina jack..nancy..faraja walivyokula bingo ya kupata mabwana wenye fedha na wasomi .ni sababu ya kujiheshimu kwao..huyu wema mwenzetu ataishia kwa domo na wauza sembe....hawezi pat mume wa maana au ht channel za kazi nzuri kwa tabia zake

Ushauri mzuri Ni Wema arudi shuleni,hiyo ya Bwana mwenye pesa Kama Aliyempata Faraja(Bwana aw Umma)na Jacqueline(Babu na mjukuu)SIJAUNGA MKONO HOJA
 
Ushauri mzuri Ni Wema arudi shuleni,hiyo ya Bwana mwenye pesa Kama Aliyempata Faraja(Bwana aw Umma)na Jacqueline(Babu na mjukuu)SIJAUNGA MKONO HOJA

Huyo future yake inabebwa na "mabwana"! Bila bwana no future!
 
Usimix kisomo na elimu nivitu viwili tofauti kama mwelewa utakuwa umenisoma.kingine pesa inatafutwa kjana nenda kalale na li uzi lako
 
Let wema be! That is her life and it is her living it....she does not have to be hoyce or faraja ndo mana hata majina yao ni tofauti.stop comparing people for your own peace of mind.
Loh mwandishi wa hii kitu anaonekana anapenda sana kuishi maisha ya watu....okay,there is no holly wood in Tz(for now) sa unafikiri hiyo thingiii itadondoka tu from heaven??someone has to show others a way
Get a life dear mwandishi!!

Kama mama ntilie wangekuwa kama wema basi hotel zingeishiwa wateja(no offense)

Dont get the facts wrong, in fact the guy is not comparing Wema with others by their names! It's for sucess, and they were equally potential to succeed. There is nobody on earth hating success and good life, and he put that one very straight. She (Wema) remain stranded, while her fellow colleagues are in a different planet in terms of success, respect, intellectual capacity and recognition. It's higly illogical to believe your own identity is tied to misery, troubles, scandals and more disappointingly lack of success. If she is your favourite celebrity, you better be honest to your self that some of her conducts are disgusting and reasons for her downfall.
 
I will say it again,that z her life.she knows what she z doing na anaona sana hao wenzake wengine but everybody chooses his/her own path..they chose theirs n she chose hers.
By the way she isn't ma fav but I don't like meddling in one's life tena mtu mzima kama yeye.
Try to pay no attention to her scandals n bad conducts....ni maisha yake aloamua kuishi
 
Once you are tied to the society whether personally or through your work, you cannot create your own world in everything you do.How could you say you are living the life which is contrary to the norms of the society which you need its support? If you think you are independent, and you can sustain yourself for everything why do you need the public to buy your films, to watch your tv programs? Your perception is too theoretical socially. Nothing is powerful than social capital, even money can't buy it.
 
Back
Top Bottom