Asulo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 719
- 252
mbona ipo jameni....au nisemeje......?
Mwambie wewe ni wa mwenyewe.....nani vile nimemsahau jina nikumbushe.
mbona ipo jameni....au nisemeje......?
twende pepe.........nina hamu ya pizza leo kweli na st anna..............
fom six advanced maths nasikia ulipata ei!he he he......mlijuaje nimeuwawa.....sina ramani kabisa leo....ya kwenda kuvinjari.....
Hahahahahaha! Lolest! Nimecheka sana hiyo mtongozo hisabati tehe tehe!ama kweli kutongoza kuna style nyingi,na hii ndo inaitwaje 'mtongozo hisabati'?
Mh...we nae kwa kujishaua!
hah hah hah hah! Najishaua kwa wife! Lol