Aisee..usinikumbushe mshahara bana, niko choka -mbaya!
Hapa nilipo mchana ndo unapita sijauona!..huh!
Kwetu wanasema ukiisubiria kwa hamu sufuria mototni ichemke, haichemki ng'oo!
Kauka wasije wakaghairi kuuingiza leo hawa...wakoloni si wema ati mamaake!