Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,564
Umeahamia kwingine? Mm sio empty nina akili nyingi sana, kukosoa huwa kunahitaji factsMkuu pole sana yaani Wewe ni empty sana, nilionaga sehemu unamponda Roma Mkatoliki sasa Wewe unapenda kusikia au kusoma unayoyataka wewe tu ? Badirika Mzee
Ulichokisoma na kimekukera na ku reply kwa hasia na gubu ni kipi ? ili nikitolee ufafanuzi ?Hakuna sehemu nimekupangia, mm natoa maoni kulingana na nachosoma. Nikikiona kizuri naunga mkono, nikiona cha hovyo nakuchana. Ukichukia ni sawa. Huwa sinaga hasira bali mm huwa bold kwenye jambo naona la hovyo
Mm sio PhD holder na sijawahi hata kufikiria kufika huko kama umenifananisha hiyo ni juu yako, hiyo degree yenyewe tu sina. Nina Diploma tu
Hongera sana jirani πWe hebu niachie mume wangu π€£π€£π€£π€£
Nna kibend kitumbo kipo ndindindi
Wee dume la mbegu hili, sema ana hoja asikilizwe..!!Baby wako bado ni Mvulana bado hajawa Mwanamume huyo π€£π€£π€£
Sasa ww umeweka post ya kujichekesha hivi, huu ndio uanaume?Baby wako bado ni Mvulana bado hajawa Mwanamume huyo
Punguza kufuatilia mambo yanawezekana yakawa yanakukera lakini hayakuhusu, Kama jambo unaona linakukera tafuta namna ya kulijibu sio unajibu kwa mihemko na jazibaUmeahamia kwingine? Mm sio empty nina akili nyingi sana, kukosoa huwa kunahitaji facts
Nakushauri usiwe desparate sana utaangukia pua
Ahsante ππππHongera sana jirani π
Hapa chini ilibid uambatanishe na uthibitisho wa miamala ili upunguze chance za kupigwa chiniDear Miss Leejay49 , Good evening my Favorite Member here at JF
As you said yesterday, after writing here that one of the JF Members I like is You. And Ivan Stepanov said he loves you, He also said the issue of spending money with You is not a problem for him ππππ. After seeing our comments and you said that we should write our policies here at MMU so that you can see which ones will be important to you.
I have only my six reasons that makes me love you
1. "You have such a great sense of humor, it always brightens my day."
2." I really appreciate your kindness and empathy towards others."
3. "You have a unique perspective on things that I find really inspiring."
4."Your passion for [Giving likes to many members on their posts without bias] is incredible - it's really inspiring to see." ππππ
5."I admire your confidence and strength in facing challenges." [ Especially when it comes to negative reactions here]
6."You have a way of making everyone around you feel comfortable and valued." [ although it is online πππ]
I wish you a good evening and blessed days with abundant grace, I hope one day we will see each other and we will sit at the same table drinking coffee or juice.
With love always β€οΈβ€οΈβ€οΈ
Anasema nisichukulie serious, ikitokea leejay akasema naomba tuongee pembeni na akasifu alichofanya wakae wayajenge atakataa??Wee dume la mbegu hili, sema ana hoja asikilizwe..!!
Kwani leejay akikubali utakataa.??
Sema ukweli manyanza
Huu mwaka wako jirani hata ukiotesha mawe yataota.Ahsante ππππ
Si unajua mwaka wa kuforce huu jirani
Bas acha nifanye jambo. Ujue Lee huwa hapend haya makelele , huyu kashamkosea tayareeh baba tu atuma mikoa yotee hadi nchi jirani
Issue gani mnazopeana kama sio bla bla. Madogo nyege zinawasumbua sana, mmeanza kunyoa mavuzi tokea enzi za wembe wa Topaz, ila Cha ajabu mnabehave kama ndio mpo baleheTuna Socialize Mkuu, halafu kama nikiwa na nia ya kumtaka mtu tuonane mbona ni easy tu. Halafu kuna Members wengi humu tunawasiliana na kupeana ishu
Madogo wanateleza sana. Shobo nyingi mpaka wanakeraInatia huzuni na hasira kusoma nyuzi kama hizi zinazo wajaza sifa wanawake humu JF.
Na mwisho wa siku hakuna wanachopata, nguo za ndani anavuliwa mshkaji ambae hata number yake haja save.
Jambo likishakuwa public linanihusuPunguza kufuatilia mambo yanawezekana yakawa yanakukera lakini hayakuhusu, Kama jambo unaona linakukera tafuta namna ya kulijibu sio unajibu kwa mihemko na jaziba
Heh ahh asitake makelele umepigwa non'gwa no count chiniBas acha nifanye jambo. Ujue Lee huwa hapend haya makelele , huyu kashamkosea tayar