π€£π€£π€£π€£ Hivi humu kuna kupeana connection zaidi ya kuitana mlimani city kukutanisha vikojoleo..??Siwezi kutoka nje ya key kabisa, na ndio maana nitapitia mabandiko yako kwanza, kuna Member humu nilimwanzishia akahojiwa na Members humu na akajielezea na carrier yake na hobbies zake nadhani alipata Connection kwenye kazi zake
Ndio prezidaa wako wa baadae π€£π€£π€£π€£Simchukii Yeye ila ana upeo finyu wa kuelewa mambo.
Soma huu uziπ€£π€£π€£π€£ Hivi humu kuna kupeana connection zaidi ya kuitana mlimani city kukutanisha vikojoleo..??
Hapo umenidanganya π€£π€£π€£
Hizo connection labda ME kwa ME
Decisions determine Destinyπ€£π€£π€£π€£ Hivi humu kuna kupeana connection zaidi ya kuitana mlimani city kukutanisha vikojoleo..??
Hapo umenidanganya π€£π€£π€£
Hizo connection labda ME kwa ME
Na ndo connection za humu zilivyo sasa, pole sana km ulichelewa kulijua hilo π€£π€£π€£Decisions determine Destiny
Kama unaenda Mliamani City kwenye akili yako umejiandaa kwenda kuvuliwa Chupi utaenda kuvuliwa kweli.
π€£π€£π€£π€£ Umegeuka mara hii.??Bado hajawa matured mentality huyo na hapati na hatapata
Nawajua na nimeshakutana nao wengi sana aisee, na tumeshajaribu kufanya mambo mengi sana lakini Watu wanafanya Usanii halafu Mtu anaiacha ile Id anakuja na nyingine na anaendelea kudunda.Na ndo connection za humu zilivyo sasa, pole sana km ulichelewa kulijua hilo π€£π€£π€£
Ww kumbe bado hujawajua watu vzr humu
arifu inakuwaje pande hizo?kukuita kaka tu ila mbona simple
π€£π€£π€£π€£π€£ Umeona eeeNawajua na nimeshakutana nao wengi sana aisee, na tumeshajaribu kufanya mambo mengi sana lakini Watu wanafanya Usanii halafu Mtu anaiacha ile Id anakuja na nyingine na anaendelea kudunda.
Mi sijapentaaaa tunampaje ushindi π€£π€£π€£Acha apate tu huo Ushindi sina haja ya kujibiazana nae.
Weee sema kweli π€π€
Hah lol. Mikoba tena jamani?
kaza binti yanguhuwezi amini nimekua mpenzi mtazamaji hadi mda huuπππ
Babu ukisema Mimi Ni Nani Hadi nipingeπ€kaza binti yangu
hakuna salia mtume..vijana wa hovyo ni wengi mchujo mkali ni lazimaBabu ukisema Mimi Ni Nani Hadi nipingeπ€
Amen ππ€hakuna salia mtume..vijana wa hovyo ni wengi mchujo mkali ni lazima
majuto hatuyakaribishi kamwe