Hili tatizo dada angu ni kwa watu wote. mi nina mchumba angu hata anikosee vipi huwa haombi msamahaa. ukimuuliza kwann anakuambia yeye humuomba msamaha mungu tu. Huwa naishia kusikitika tu[emoji20] [emoji20]Hello wapendwa. Hope you are all doing fine.Leo nina kitu kidogo nataka kushare na nyinyi.
Unaweza kuta mwanaume anamkosea mtu either mpenzi wake, mke wake, mtoto wake au jamaa na marafiki but inakuwa vigumu sana kwake to say 'am sorry' meaningfully.
Samahan ni neno dogo sana but ina umuhimu mkubwa sana.Dear men, u better drop your ego at least once in a lifetime muwe mnaomba samahan, it means alot.Unaweza mkosea mtu mambo mengi but when you say am really sorry meaningfully, mtu anaweza kukusamehe na kusahau kwa wale kama mimi ambao hawaweki vitu moyoni.
Na nyie wengne mkiombwa msamaha kwa dhati siyo mtu unavuta mdomo kama kasuku na kununa na kumhesabia mwenzio makosa yake as if you are God.Ukisamehe unakua na amani moyoni.
Have a blessed hustle.Nawapenda.
Pole.But Leo nimeuliza specifically men, anyway mweleze umuhimu wa hilo neno na liwe kwa dhati.But watu wengi wanaona kazi kujishusha that's why am here to know why is it so hard to say 'sorry'.Hili tatizo dada angu ni kwa watu wote. mi nina mchumba angu hata anikosee vipi huwa haombi msamahaa. ukimuuliza kwann anakuambia yeye humuomba msamaha mungu tu. Huwa naishia kusikitika tu[emoji20] [emoji20]
Sio kweli iyo ni kwako na mpenzi wako ndio iko hivyo ila kama mimi naweza kukosewa na nikaomba samahani mimi na bado mambo yasiwe mamboHello wapendwa. Hope you are all doing fine.Leo nina kitu kidogo nataka kushare na nyinyi.
Unaweza kuta mwanaume anamkosea mtu either mpenzi wake, mke wake, mtoto wake au jamaa na marafiki but inakuwa vigumu sana kwake to say 'am sorry' meaningfully.
Samahan ni neno dogo sana but ina umuhimu mkubwa sana.Dear men, u better drop your ego at least once in a lifetime muwe mnaomba samahan, it means alot.Unaweza mkosea mtu mambo mengi but when you say am really sorry meaningfully, mtu anaweza kukusamehe na kusahau kwa wale kama mimi ambao hawaweki vitu moyoni.
Na nyie wengne mkiombwa msamaha kwa dhati siyo mtu unavuta mdomo kama kasuku na kununa na kumhesabia mwenzio makosa yake as if you are God.Ukisamehe unakua na amani moyoni.
Have a blessed hustle.Nawapenda.
Ila kuna wanawake nao kusema samahani ni shida balaa......basi tu hujawajuaHello wapendwa. Hope you are all doing fine.Leo nina kitu kidogo nataka kushare na nyinyi.
Unaweza kuta mwanaume anamkosea mtu either mpenzi wake, mke wake, mtoto wake au jamaa na marafiki but inakuwa vigumu sana kwake to say 'am sorry' meaningfully.
Samahan ni neno dogo sana but ina umuhimu mkubwa sana.Dear men, u better drop your ego at least once in a lifetime muwe mnaomba samahan, it means alot.Unaweza mkosea mtu mambo mengi but when you say am really sorry meaningfully, mtu anaweza kukusamehe na kusahau kwa wale kama mimi ambao hawaweki vitu moyoni.
Na nyie wengne mkiombwa msamaha kwa dhati siyo mtu unavuta mdomo kama kasuku na kununa na kumhesabia mwenzio makosa yake as if you are God.Ukisamehe unakua na amani moyoni.
Have a blessed hustle.Nawapenda.
Thank God bado ni mchumba tu, think long and hard before making things permanent with him....hivyo tu.Hili tatizo dada angu ni kwa watu wote. mi nina mchumba angu hata anikosee vipi huwa haombi msamahaa. ukimuuliza kwann anakuambia yeye humuomba msamaha mungu tu. Huwa naishia kusikitika tu[emoji20] [emoji20]
Lakin wanaume wamezid san mkuuSuala la kutoomba samahani lipo Kwa Pande zote wanawake na wanaume inategemea na maumbile ya mtu alivyoumbwa Ila kuomba samahan ni kitendo cha kiungwana Kwa watu waliokoseana
Ndo maana nikasema aombe samahan kwa dhati na asirudie kosaBora asie sema ukajua kama huyu mshenzi wa tabia ukatafuta njia yakum fix,kuliko anaeomba samahani kumbe ya kinafki kesho anakuletea shuzi kubwa kuliko la jana halafu anaomba samahani na kulia juu..
wengine unafki uko ndani ya damu yao,hua nawachukia mie watu namna hiyooo..Ndo maana nikasema aombe samahan kwa dhati na asirudie kosa
dah kaka mahusiano yangu yako complicated sana huyu binti yupo wired na mother na ni rafk wa familia kwa ujumla. maamuzi magumu huwa yanashindikanaThank God bado ni mchumba tu, think long and hard before making things permanent with him....hivyo tu.