nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,056
Sikuwahi kujua wala kuuona upendo wa mama! Namshukuru bibi yangu na babu na mama yangu Mdogo kunilea na kunikuza.
Hao sijui baba na mama nimekuja kuwajua ukubwani, baada ya kuona maisha yanaanza kuninyookea ndio wakajileta leta kwangu!l.
Any way nawapenda sana baba na mama yangu na wadogo zangu lakini sijawahi kuhisi kuna anaenipenda kati ya hao! Mliobahatika kupendwa na mama zenu hongera kwenu, Mimi huu upendo wa ukubwani nawaangalia tu kisha natabasamu!
Washukuru Nina kauwezo wameishia kuwa tegemezi kwangu na ninawasomeshea watoto wao (wadogo zangu).
Sent using Jamii Forums mobile app