What is it with you with this word each time you say itKibamia
Unaumia sana nkisema...una uhusiano wowote na hiki kitu?What is it with you with this word each time you say it
Hapana na wala sitak kujua ila am suprised mara nying analitamka sasa uki relate na mada hua naona haviendani😀
kwamba mkuu inaonesha una wasiwasi na Size ya mguu wake wa tatu
Wala siumii na sina uhusiano nalo..nashangaa hili neno unalipenda sana kulitamka most of the threads.Unaumia sana nkisema...una uhusiano wowote na hiki kitu?
Ungekuwa unajua hilo la uhuru toka mapema usingehangahika kuandika maneno mengii...maana kila unaposikia neno hili unaongea kwa hisia sanaWala siumii na sina uhusiano nalo..nashangaa hili neno unalipenda sana kulitamka most of the threads.
anyway una uhuru mana ni jukwaa huru.have good day.
Sinaga hisiaUngekuwa unajua hilo la uhuru toka mapema usingehangahika kuandika maneno mengii...maana kila unaposikia neno hili unaongea kwa hisia sana
Pole sana.
mmmmh pole kamalizie basi haka kastory nini kilijiri?Nilimuweka moyoni, nilimpenda kuliko kitu chochote duniani, nilimthamini, nilimjali, nilimuheshimu sana na kumvumilia.
Lakini kaneno kadogo tu kalinivunja moyo kabisa na kumuona hana thamani tena katika maisha yangu japo yeye hajui kilichobaki ni kupokea huduma yake na kufanya maisha yangu tu.
We utaona ni story lkn ukweli ndio huo.mmmmh pole kamalizie basi haka kastory nini kilijiri?
Huduma gani anapokea?!....Nilimuweka moyoni, nilimpenda kuliko kitu chochote duniani, nilimthamini, nilimjali, nilimuheshimu sana na kumvumilia.
Lakini kaneno kadogo tu kalinivunja moyo kabisa na kumuona hana thamani tena katika maisha yangu japo yeye hajui kilichobaki ni kupokea huduma yake na kufanya maisha yangu tu.
Hujawahi kucfiwa?!Wanaume mna izo sana.. Naumizwa pale anapoponda mabadiliko ya mwili wangu... Ulikua mwembamba saiv umenenepa sana.. Ulikua ivi leo uko ivi kuponda tu, hamna hata la kusifiwa moja mkuu. Inauma aisee
Mimi ndio napokea huduma yake.Huduma gani anapokea?!....
Yeye hapati huduma?!Mimi ndio napokea huduma yake.
Haaahaaahaa ulijuaje? Ila usijali ntakupigia nikupe la ukweli!!Yeye hapati huduma?!
Ndio maana hata lile busu lako jana lilikuwa na la uongooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sikuamini tena...kama huyo jamaa upo nae lkn humpendi inaonekana ww ni mtu wa kuigiza snHaaahaaahaa ulijuaje? Ila usijali ntakupigia nikupe la ukweli!!
Halafu mbaya zaidi, yeye hajawahi kukutamkia wewe hayo maneno tena tangu alipokutongoza.. Ila unapewa sifa za Ex wake tu..hahaNilimuweka moyoni, nilimpenda kuliko kitu chochote duniani, nilimthamini, nilimjali, nilimuheshimu sana na kumvumilia.
Lakini kaneno kadogo tu kalinivunja moyo kabisa na kumuona hana thamani tena katika maisha yangu japo yeye hajui kilichobaki ni kupokea huduma yake na kufanya maisha yangu tu.