Dear God!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Ee Mungu,unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase na dhambi zangu.
Maana nimejua mimi makosa yangu,
Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi wewe peke yako,
Na kufanya maovu mbele ya macho yako.
Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo,
Na kuwa safi utoapo hukumu.
Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi,
Unioshe,nami nitakuwa mweupe kuliko theluji.
EE MUNGU,UNIUMBIE MOYO SAFI,
UIFANYE UPYA ROHO ILIYO TULIA NDANI YANGU,
USINITENGE NA USO WAKO,
WALA ROHO YAKO MTAKATIFU USINIONDOLEE.
 
Daah!Unanipa uchungu,manake cc tumeshushwa kwa huruma yake.lkn amri zake hatuzifuaati ili kuishi katika yy.all in all huwa najipa moyo kwa maandko yasemayo alienileta bila kujuwa ndie ataniokoa pasipo mm kujua.wataalam wa biblia tafuten huo mstari, nitafurahi kujua upo aya gani na umeandikwa na nani.
 
1gb,nimefikiri sana leo juu ya njia zangu,nikaona nitubu kwa Mungu wangu.
Aya unayo izungumzia sijawah iona!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom