Dear future wife...

Dear future wife...

hahahhahahahaha basi bbyto jaman una wivu? amesema jiran yetu tu lakin sio mimi.

But since I love you, have no option. I will do as you say.

moto wa maji naamin umesikia majibu.
Nimeyapata majibu,ila STUNTER ukiendelea na wivu kama huo utaugua afu ndo utuachie vizuri jje's
 
Uvumilivy umenishinda basema waz ww mwanamke ninae kugegeda nw ndiye utakuwa my Best wife
 
wengi wana maono mazuri ya maisha ya ndoa ila wanasahau maisha ya ndoa yana changamoto zake, nyie wakina dear future nani nani uhondo wa ngoma ingia kati uicheze
 
wengi wana maono mazuri ya maisha ya ndoa ila wanasahau maisha ya ndoa yana changamoto zake, nyie wakina dear future nani nani uhondo wa ngoma ingia kati uicheze
mkuu
Nani hajui ndoa zina changamoto....Sio ndoa tu MAISHA kiujumla yanachangamoto kubwa kwahiyo ndoa iko ndani ya MAISHA kwahiyo usitutishe mkuu
 
mkuu
Nani hajui ndoa zina changamoto....Sio ndoa tu MAISHA kiujumla yanachangamoto kubwa kwahiyo ndoa iko ndani ya MAISHA kwahiyo usitutishe mkuu
umeonaaeeeeea bora ubaeleze wajue. wanaona kama ndoa ni kisiwa kingine wakati sivyo. unavyochukulia maisha ndio ndoa yenyewe asikudanganye mtu. penda kuishi maisha ya uhalisia na si kuigiza utatoboa tu hakuna namna
 
Huyo mkuu ametenganisha NDOA na MAISHA akidhani ni vitu tofauti
 
Hehehe dear future husband i can't wait to tie a knot with u
Nakupa dedication Dear future husband by Meghan trainor pz isikile dear future husband hahahahahahaha
Am gonna love u like am gonna lose u. Ua so sweet darling...
 
Back
Top Bottom