Dear Controller and Auditor General (CAG), take note on this

Ni sawa na kumpelekea nyani kesi ya ngedere.

Appears it’s an institutional practice culture if that is the case, awawezi chunguza quality za kazi za watu wao.

Halafu hadi watu wajenge urafiki ivyo na kuwa comfortable kupokea ongo za waziwazi chances are the same people are auditing same places for many years bila ya kubadilishwa.

Ni concerns za ufisadi ambazo inabidi uandike barua kwa kamati ya PAC ya bunge na kupeleka ushahidi wailazimishe serikali kupeleka regulators wa auditing work kuchunguza uhusiano wa auditors na taasisi wanazozikagua pamoja na quality ya kazi zenyewe; kuliko ofisi ya CAG ijuchunguze yenyewe.

I have always said shida ya nchi ipo kwa wafanyakazi wa serikali 90% na hawa ndio watu wasiotaka kubadilika wanasiasa wezi ni wachache sana.
Unajua kiukweli nchi hii inapigwa….when it comes to per*******try committee especially PAC and LNT is harvesting time….currently the LNT is at work visiting various parks…… but I swear I will expose them this time around…..
 
If you are committed to exposing the inappropriate auditing procedures with evidence plus non-independent in their work you have several avenues to send your evidence.

Tafuta journalist unaemuamini kwenye gazeti kubwa mpe ushahidi (anonymously) anaoweza tumia au avenues za kwenda kuchunguza zaidi.

Andika barua kwa katibu mkuu na waziri wizara ya fedha. Peleka nakala wizara ya maliasili na utalii kwa waziri na katibu mkuu.

Andika barua kamati ya PAC tuma nakala kwa wajumbe husika. On top of that tafuta wabunge kama kumi wazoefu peleka ushahidi akiwemo Kigwangalla ana hasira nao ofisi ya CAG hasa hao wanaokagua TANAPA na kiherehere kama msukuma.

Kuna ile body ya wahasibu ni supervisors wa viwango vya kazi za uhasibu peleka majina ya wahusika kutoka ofisi ya CAG na ushahidi wa tuhuma.

There are so avenues to expose your concerns, usitegemee CAG ako operate na wewe. Heck weka ata ushahidi JF ilianza kama whistle blowing site.

Mie nakuamini 100% na inaonekana upo kwenye accounting departments ndio maana una confidence na accusations zako kwamba hao watu kuna sehemu awachunguzi kwa makusudi nothing to do scope of work walizopanga bali kulinda ufisadi unaondelea.

Kuna kitu hakiko sawa TANAPA, baada ya kumsikiliza Kigwangalla nimegundua TANAPA na external auditors kuna collusion to mislead the public, to what extent unahitajika uchunguzi.
 
Kwa TANAPA mtoa mada hapo juu na wanajamvi, nimesoma andiko lako na nimelielewa vizuri.

Kwa ninavyoifahamu Ofisi hiyo na CAG mwenyewe, hawezi kufumbia macho uzembe na ukosefu wa maadili kwa kiwango ulichokieleza.

Kwa kuwa umesisitiza kuwa na ushahidi wa masuala uliyoeleza, na kwa kuwa CAG amejipambanua kutov umilia kabisa vitendo rushwa (zero tolerance) na akaweka utaratibu wa wazi kwa Ofisi yake kupokea taarifa na tuhuma mbalimbali, nashauri mpelekee ushahidi wako moja kwa moja kupitia barua pepe: ocag@nao.go.tz.

Pia Ofisi yake ina mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na Twitter ya "@ukaguzitanzania", ambayo unaweza pia kuitumia kumfikishia taarifa. Naamini akithibitisha kwa kutumia ushahidi wako, CAG atachukua hatua stahili.

Nijuavyo mimi, kazi ya kukagua haileti marafiki wengi, ndiyo maana tumeona mifano hao, hata juzi mmoja wa waheshimiwa Bungeni alipinga taarifa yake kwa nguvu zote, Kamati ya PAC ilivyoshughulikia maelezo yake kwa kuangalia ushahidi wa kikaguzi, ikarejesha taarifa kuwa Mheshimiwa hakusema ukweli.

Isije ikawa ndiyo muendelezo wa picha ileile ya kuipunguza kasi Ofisi yake.

“Wasalamu ni mimi Mwanajamvi”
 
Kwa hiyo TANAPA ni shamba la bibi? Naona kuna Auditors, PAC na hiyo nyingine wote unasema wanavuna.

Hiyo TANAPA ni hatari kwa kweli.
 
Naona kwa jinsi ulivyoandika una imani na CAG ila huna imani na hao wakaguzi wake wanaokagua huko TANAPA.

Kwa nini usiwasiliane na huyo mkuu wao uone atawafanya nini hao watu wake.
 
Kwa TANAPA mtoa mada hapo juu na wanajamvi, nimesoma andiko lako na nimelielewa vizuri. Kwa ninavyoifahamu Ofisi hiyo na CAG mwenyewe, hawezi kufumbia macho uzembe na ukosefu wa maadili kwa kiwango ulichokieleza. Kwa kuwa umesisitiza kuwa na ushahidi wa masuala uliyoeleza, na kwa kuwa CAG amejipambanua kutov umilia kabisa vitendo rushwa (zero tolerance) na akaweka utaratibu wa wazi kwa Ofisi yake kupokea taarifa na tuhuma mbalimbali, nashauri mpelekee ushahidi wako moja kwa moja kupitia barua pepe: ocag@nao.go.tz.

Pia Ofisi yake ina mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na Twitter ya "@ukaguzitanzania", ambayo unaweza pia kuitumia kumfikishia taarifa. Naamini akithibitisha kwa kutumia ushahidi wako, CAG atachukua hatua stahili.

Nijuavyo mimi, kazi ya kukagua haileti marafiki wengi, ndiyo maana tumeona mifano hao, hata juzi mmoja wa waheshimiwa Bungeni alipinga taarifa yake kwa nguvu zote, Kamati ya PAC ilivyoshughulikia maelezo yake kwa kuangalia ushahidi wa kikaguzi, ikarejesha taarifa kuwa Mheshimiwa hakusema ukweli. Isije ikawa ndiyo muendelezo wa picha ileile ya kuipunguza kasi Ofisi yake.

“Wasalamu ni mimi Mwanajamvi”
Nimenote there are some initiatives from investigative authorities who are at work as of now to come up with what I whistle blew, it is my prayers that they will do the work professionally value-adding report.

However, in connection to that, I have noticed also, there are at least eight guys-men and one lady all in the management team who are in the front line for taking cash-imprest to counter the undergoing assignment.

Some are even taking cash from their own pockets to ensure the investigation will not be of fruitful results…just be warned you are also in our limelight.

Kwa kuwasitiri waache wote mara moja nitawaexpose wote mpaka vitu ambavyo hawataamini, ambavyo kwa uchache vipo Arusha,Dar, Tanga, Dodoma na Mwanza. ….

Let give these guys(investigative authority) a way to do their work and hold on while observing.

You know if you want to chop off a tortoise’s head you really need great timing.

Thanks​

……………..also link with what super eagle is narrating in jamiiforums(Public funds are stolen from million to single-digit billion currently)……

If you are committed to exposing the inappropriate auditing procedures with evidence plus non-independent in their work you have several avenues to send your evidence.

Tafuta journalist unaemuamini kwenye gazeti kubwa mpe ushahidi (anonymously) anaoweza tumia au avenues za kwenda kuchunguza zaidi.

Andika barua kwa katibu mkuu na waziri wizara ya fedha. Peleka nakala wizara ya maliasili na utalii kwa waziri na katibu mkuu.

Andika barua kamati ya PAC tuma nakala kwa wajumbe husika. On top of that tafuta wabunge kama kumi wazoefu peleka ushahidi akiwemo Kigwangalla ana hasira nao ofisi ya CAG hasa hao wanaokagua TANAPA na kiherehere kama msukuma.

Kuna ile body ya wahasibu ni supervisors wa viwango vya kazi za uhasibu peleka majina ya wahusika kutoka ofisi ya CAG na ushahidi wa tuhuma.

There are so avenues to expose your concerns, usitegemee CAG ako operate na wewe. Heck weka ata ushahidi JF ilianza kama whistle blowing site.

Mie nakuamini 100% na inaonekana upo kwenye accounting departments ndio maana una confidence na accusations zako kwamba hao watu kuna sehemu awachunguzi kwa makusudi nothing to do scope of work walizopanga bali kulinda ufisadi unaondelea.

Kuna kitu hakiko sawa TANAPA, baada ya kumsikiliza Kigwangalla nimegundua TANAPA na external auditors kuna collusion to mislead the public, to what extent unahitajika uchunguzi.
Naona humtakii mema mwenzako.

Hizi ni michongo vya vigogo wa serikali na wanaccm
 
Nimenote there are some initiatives from investigative authorities who are at work as of now to come up with what I whistle blew, it is my prayers that they will do the work professionally value-adding report.

However, in connection to that, I have noticed also, there are at least eight guys-men and one lady all in the management team who are in the front line for taking cash-imprest to counter the undergoing assignment. Some are even taking cash from their own pockets to ensure the investigation will not be of fruitful results…just be warned you are also in our limelight. Kwa kuwasitiri waache wote mara moja nitawaexpose wote mpaka vitu ambavyo hawataamini, ambavyo kwa uchache vipo Arusha,Dar, Tanga, Dodoma na Mwanza. ….

Let give these guys(investigative authority) a way to do their work and hold on while observing. You know if you want to chop off a tortoise’s head you really need great timing.

Thanks​

……………..also link with what super eagle is narrating in jamiiforums(Public funds are stolen from million to single-digit billion currently)……

Okay ni jambo jema kama wamesikia na kufanyia kazi
 
Kwa TANAPA mtoa mada hapo juu na wanajamvi, nimesoma andiko lako na nimelielewa vizuri. Kwa ninavyoifahamu Ofisi hiyo na CAG mwenyewe, hawezi kufumbia macho uzembe na ukosefu wa maadili kwa kiwango ulichokieleza. Kwa kuwa umesisitiza kuwa na ushahidi wa masuala uliyoeleza, na kwa kuwa CAG amejipambanua kutov umilia kabisa vitendo rushwa (zero tolerance) na akaweka utaratibu wa wazi kwa Ofisi yake kupokea taarifa na tuhuma mbalimbali, nashauri mpelekee ushahidi wako moja kwa moja kupitia barua pepe: ocag@nao.go.tz.

Pia Ofisi yake ina mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na Twitter ya "@ukaguzitanzania", ambayo unaweza pia kuitumia kumfikishia taarifa. Naamini akithibitisha kwa kutumia ushahidi wako, CAG atachukua hatua stahili.

Nijuavyo mimi, kazi ya kukagua haileti marafiki wengi, ndiyo maana tumeona mifano hao, hata juzi mmoja wa waheshimiwa Bungeni alipinga taarifa yake kwa nguvu zote, Kamati ya PAC ilivyoshughulikia maelezo yake kwa kuangalia ushahidi wa kikaguzi, ikarejesha taarifa kuwa Mheshimiwa hakusema ukweli. Isije ikawa ndiyo muendelezo wa picha ileile ya kuipunguza kasi Ofisi yake.

“Wasalamu ni mimi Mwanajamvi”

Haaa Juma Juma jina lako linaleta shaka kubwa.

Mkuu wa idara ya fedha anaitwa Juma
 
JE! UNAJUA MTU YOYOTE AKIWA NA USHAHIDI ANAWEZA KURIPOTI KWA CAG TAARIFA YA UBADHIRIFU AU HUJUMA?

Ni rahisi tembelea tovuti yetu: na ujaze fomu maalumu ya FRAUD:

Au unaweza kutuma taarifa yako ikiwa na ushahidi/vithibitisho kwa baruapepe ya CAG:
ocag@nao.go.tz

SIRI ITAZINGATIWA

#uzalendokwanza #uadilifukwanza
 
TOA TAARIFA KUPITIA MAELEKEZO YA HAPO CHINI KWENYE KIPEPERUSHI

Screenshot_20220321-075100.jpg
 
Unampelekea matatizo mhusika mkuu...peleka Takukuru ifanye kazi yake...
 
JE! UNAJUA MTU YOYOTE AKIWA NA USHAHIDI ANAWEZA KURIPOTI KWA CAG TAARIFA YA UBADHIRIFU AU HUJUMA?

Ni rahisi tembelea tovuti yetu: na ujaze fomu maalumu ya FRAUD:

Au unaweza kutuma taarifa yako ikiwa na ushahidi/vithibitisho kwa baruapepe ya CAG:
ocag@nao.go.tz

SIRI ITAZINGATIWA

#uzalendokwanza #uadilifukwanza
We ndio admin wa CAG?

Si muwe na ukurasa rasmi kama TANESCO nk

Juma ndo nini?
 
I have noticed people within the org are now fighting intensely, due to the above whistleblowing… they are sending blames and allegations left right center as to whom may have leaked the information, therefore I need to be cautious so that my source should not be linked or tracked.

Just to let them know and stop fighting the wrong person…………………… the whole issue of the embezzlement saga stand with previous CEO A.K, FINANCE DPT, PROCUREMENT AND INTERNAL AUDIT DPT. The current evidence I have is based on confirmed phantom payments(payments for external auditors), confirmed phantom deliveries, and phantom payments made to the head of internal audit to handle things “Kwa Basara”

There are some members here who are eager to see the evidence posted in this thread, I will delay the evidence in this thread, though I will be sharing with the authorities e.g. PCCB and CAG anonymously.

thanks
 
Back
Top Bottom