Dear Boss, niko kwenye mood ya X MAS

Wanyakyusa wana mlo wao spesho wa Xmas. Mbalaga na kitimoto vinapikwa pamoja, vinapikwa taratibu sana, usiku kucha. Ni tamu kinoma

mbona kama umesahau kyindi "kimpumu", kasokera na kifughe!!!
 
Nina swali la kizushi kama sio maswali
Hivi kwa nini wakati wa christmass, Wabongo karibia wote huwa wanakula pilau? mwenzenu huwa nakula sembe, mbilimbi na kipande cha papa "side mirror"

Nami huwa nafuata nyayo zako my daddy.... Sijui wengine!!!!!
 
Huo ni uzushi mkubwa,kwa sababu katika akaunti yake sasa hv amebakiza tuvijisenti tu kwa ajili ya matumizi ya hapa na pale ambapo ni tshill 320,000,000/= tu,na hizo pesa nyingi hivyo kuzitoa ni mpaka akaunti ya familia ambayo haijaguswa.


Mbona nasikia alitumia zaidi ya $ mil 24 kwa ajili ya upasuaji?
 
Nina swali la kizushi kama sio maswali
Hivi kwa nini wakati wa christmass, Wabongo karibia wote huwa wanakula pilau? mwenzenu huwa nakula sembe, mbilimbi na kipande cha papa "side mirror"
Kabla mama ntilie hawajaja, enzi hizoooooo, pilau kilikuwa ndio chakula rasmi cha sikukuu
 
Back
Top Bottom