Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
Mbona nasikia kuwa Madame B aliposikia uzushi kuwa Tyson kabadili jinsia yeye akaamua abadili umbile, saa hizi kawa kuku
Mbona nasikia alitumia zaidi ya $ mil 24 kwa ajili ya upasuaji?Huo ni uzushi mtupu na jana tukiwa tunatimiza kitendo cha wakubwa mambo yalikuwa safi tu bila tatizo lolote
Nasikia JF Arusha wanaenda Tanga, kwanini sisi wa DSM tusiandae safari ya kwenda Sadani?
sio, ni wote wa arusha na wa Dar tunaenda
Utaratibu ukoje? Kila mtu anawasha gari lake au tunaondoka as a team?