Dear Boss, niko kwenye mood ya X MAS

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
Duhhh, hiii XMas mbona inanielemea kichwani?
Yaani hamna kinacho fanyika, niko ki Xmas zaidi.
Yaani hata kujibu e mail sitaki, ninacho kitaka ni JF zaidi.



Christmas-Tree-Nature1024-226431.jpeg
 
Huo ni uzushi mtupu na jana tukiwa tunatimiza kitendo cha wakubwa mambo yalikuwa safi tu bila tatizo lolote


Mbona nasikia kuwa Madame B aliposikia uzushi kuwa Tyson kabadili jinsia yeye akaamua abadili umbile, saa hizi kawa kuku
 
Last edited by a moderator:
Wanyakyusa wana mlo wao spesho wa Xmas. Mbalaga na kitimoto vinapikwa pamoja, vinapikwa taratibu sana, usiku kucha. Ni tamu kinoma
 
Nina swali la kizushi kama sio maswali
Hivi kwa nini wakati wa christmas, Wabongo karibia wote huwa wanakula pilau? mwenzenu huwa nakula sembe, mbilimbi na kipande cha papa "side mirror"
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom