bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Ndugu wanaJF. Naitwa Lamar kwa jina. Ninasoma chuo kimojawapo chenye jina kati ya vyuo vikubwa vya serikali. Nipo mwaka wa 3. Mwanzoni mwa mwaka wa pili niliingia katka mahusiano na afisa mkuu mwanamke katika ofisi ya dean of students, hyo ni baada ya kunishawish na nafikir ni kwa uhandsome wangu kiaina cz c siri nina mvuto na wadada wanahangaika kweli. nilitoka mara kbao na mama huyo mpaka aliwah kunipeleka south afrika ktk likzo mojawapo na hata field ckufanya ila alicheza mchezo anaoujua nikajaziwa marks za field. Alinipa pesa na kunipangia chumba na sebule na hakuniruhusu kuwa na girlfriend pia kila k2 aliniwekea ndani. Cha kushangaza nw ameniandikia msg jana ucku eti mume wake amerudi toka USA na niendelee kuhangaika peke yangu eti na afya yangu si lolote tena, hyo ni baada ya kuchukua cm yangu juz na kukuta sms ya dem. Ameniandkia hyo msg na kuni2mia laki 8 kwenye mpesa akaunt yangu na amesema nisimtafute tena na nisimtaje popote. Naogopa kwenda kupima nahc nitakufa mapema zaidi. Nifanyeje?