Dealership

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari zenu ndugu,

Naomba msaada kutoka kwa wapenda maendeleo wenzangu. Naagiza magari ya kuuza lakini focus yangu ni kuuza mikoani kwani mjini sasa hivi kila mtu anaagiza magari na demand mikoani bado ni kubwa ila tatizo network.

Naomba kwa yeyote ataeweza kunisaidia mawasiliano ya dalali wa kuuza magari kutoka mkoa wowote Tanzania ili niwashirikishe kwenye mchakato huu.. Najua at some point ushawahi kutana na hawa jamaa kama ushauza au kununua gari.

Hizi ni harakati za kujikwamua kupunguza umaskini kwahio ukinisaidia mawasiliano haya utakuwa umemsaidia pia huyo dalali na familia yake kwani hauzi magari bure.

Naomba nitumie kwenye inbox mawasiliano hayo tafadhali kwani sio vizuri kuweka kwenye public mawasiliano ya mtu bila ridhaa yake.

Natanguliza shukrani.

Asha

:smiling:
 

nakushauri peleka jukwaa la biashana na uchumi pia na forum ya matangazo madogomadogo utasaidika kwa wepesi, lakini 'kuwa makini' wazee wa fursa wapo kila kona
 
nakushauri peleka jukwaa la biashana na uchumi pia na forum ya matangazo madogomadogo utasaidika kwa wepesi, lakini 'kuwa makini' wazee wa fursa wapo kila kona

Mekusoma. Akhsante
 
nakushauri peleka jukwaa la biashana na uchumi pia na forum ya matangazo madogomadogo utasaidika kwa wepesi, lakini 'kuwa makini' wazee wa fursa wapo kila kona

Ushauri mzuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…