Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,916
- 165,226
Ruttashobolwa mbona hawa waalimu wenyewe ni vilaza, wamefoji vyeti vya chekechea na msingi?
Daaah hii hali ni mbaya sana!
Nahisi ulistahili kupata sifuri!
Yani hata huu uzi ufutwe kabisa
Ngoja ni waite walimu wako wajionee wenyewe !
Cc snowhite, gfsonwin , Evelyn Salt, Baba V
Last edited by a moderator: