Deadline yangu mwakani, ndoa lazima nifunge

Hapa leo masikani, ni nini mwajadilini?
Mtoto Judi jamani, sisi watutakiani?
Ndoa hiyo ya mwakani, nani yuko bahatini?
Ninakutakia heri, Ndoa uivumilie.

Ndoa uivumilie, Ni kama wenda vitani,
yakikukumba silie, yatulize kwa makini,
Ndoa uishikilie, usiyumbe asilani.
Ninakutakia heri, ndoa ni kubwa daraja.

Talaka ikikukuta, Kwa babu uje moyoni,
Babu haweki ukuta, ila tufanye sirini,
Hakika hautajuta, babu kikuweka ndani,
Kwa babu wakaribishwa, Ndoayo kisambaratika

Big Braza ODM Asprin.
 
Hapa leo masikani, ni nini mwajadilini?
Mtoto Judi jamani, sisi watutakiani?
Ndoa hiyo ya mwakani, nani yuko bahatini?
Ninakutakia heri, Ndoa uivumilie.

Ndoa uivumilie, Ni kama wenda vitani,
yakikukumba silie, yatulize kwa makini,
Ndoa uishikilie, usiyumbe asilani.
Ninakutakia heri, ndoa ni kubwa daraja.

Talaka ikikukuta, Kwa babu uje moyoni,
Babu haweki ukuta, ila tufanye sirini,
Hakika hautajuta, babu kikuweka ndani,
Kwa babu wakaribishwa, Ndoayo kisambaratika

Big Braza ODM Asprin.

heheheheeh dah! mkuu hii imeongeza tena siku 6 katika kalenda yangu ya maisha. dah aspirin bana!
 
yoooo....

yooooo...!one two one two MAKROFONI TEST!yoooo

yooo....!
 
shairi uloandika , limenipa tabasamu
tena nimefurahika, ewe ulo mkarimu
daima utasifika , kwa yako tele nidhamu
uwe wake malaika, awe wako hensamu

mengi ulioandika, yamenigusa moyoni
sifa zisizo mipaka, umenipa klorokwini
na hina ukazipaka,nashukuru kwa kunithamini
nimepokea hakika, hizo zako shukrani

natamani ningekesha, shairi kukutungia
jinsi ulivyonikosha , nashindwa kuongezea
hofu nisije chemsha, yana tabu mazowea
vina vyako vyanitisha, hakika vimetulia

hiyo siku ikifika, twaomba kuhudhuria
kama utatualika, mpunga kuja jilia
Mungu alietukuka, akupe njema afia
ufurahi na kuruka, chumbani ukiingia.

dua zako zi makini, baraka zanijazia,
zazidi mia sitini, malaki zapindukia,
tazijaza akilini, njia kunimulikia,
mpendwa klorokwini, kofia nakuvulia

hiyo siku nangojea, kwa hamu naiendea,
nanyi mtaijongea, mwaliko ntawapatia,
hata walomendea, daima tasimulia,
mpendwa klorokwini, kofia nakuvulia

moyo wangu wachanua, ndoa kuiombea,
mithili ya rozi ua, manjojo nimekamia.
hiyo haitakawia, Mungu amenisikia
mpendwa klorokwini, kofia nakuvulia
 
eennh ngoja nende kwa fund kabisa kushona gaun la KUSIMAMIA harusi...cz mwakan isnt mbali kiivo!
 
ndoa sio masihara,miss judi nakuasa
ndoa kuvumiliana,hili neno shikilia
ndoa nidhamu yataka,hili nalo nakumbusha
miss judi safi sana,ndoa kitu cha heshima


''.....MWANA NGONJERA MIMI NAOONDOOOKAAAAA,MWANA NGONJERA MIMI NAONDOOKAAAA!mawimbiiii bahariniiiiii upepo unanipeperushaaaaaa...''
 
Hapa leo masikani, ni nini mwajadilini?
Mtoto Judi jamani, sisi watutakiani?
Ndoa hiyo ya mwakani, nani yuko bahatini?
Ninakutakia heri, Ndoa uivumilie.

Ndoa uivumilie, Ni kama wenda vitani,
yakikukumba silie, yatulize kwa makini,
Ndoa uishikilie, usiyumbe asilani.
Ninakutakia heri, ndoa ni kubwa daraja.

Talaka ikikukuta, Kwa babu uje moyoni,
Babu haweki ukuta, ila tufanye sirini,
Hakika hautajuta, babu kikuweka ndani,
Kwa babu wakaribishwa, Ndoayo kisambaratika

Big Braza ODM Asprin.

Babu wewe mtata, Judi wamtakya nini
Mwenyewe kaishapata,laazizi wa ubani
Na deadline kaweka, haitozidi mwakani
Judi babu ukimpa, na mimi pia ntataka
 
ngoja waje wajuzi, himeni watakujuza,
mie labda wa juzi, kwa mengi ninawakwaza,
hata na wewe mzazi, washindwa japo kuwaza,
himeni i kama vazi, chanwapo hiyo huliza,

umewaita malenga, kwa dogo hilo jawabu,
ungeuliza wakunga, wasingeipata tabu,
hao wako wadunga, japo wengine vibabu
himeni i kama vazi, chanwapo hiyo huliza,

washituka kujinoma, hali wajua vitamu,
wataka iwepo noma, japo ile maalumu,
kimoja hiyo hukoma, ndipo yasemwa nitamu,
himeni i kama vazi, chanwapo hiyo huliza,


Hadi sasa nashangaa, sijaupata muafaka,
Bado nimetunduwaa, kiu haijakatika!
Nimeshindwa pa kukaa, akili zimetindika,
Himeni i kama vazi, vazi gani mnambie?

Mana kuna tetironi, plyster pia kaniki,
Suruali magauni, makoti hayachaniki!
Na magawanda ya jeshini, risasi hazipitiki
Himeni i kama vazi, vazi gani mnambie?

Ikisha kama ni vazi, iweje mkalichana,
Ama wa sasa ujuzi, mnijuze waungwana,
Mie sina utambuzi, Himeni ninaikana
Nasema sijaridhika, Himeni ni kitu gani?

Amepita funzadume, Sijaone kiisema
Kama watumia sime, himeni kuiachama?
mwachana kigumegume, au mmeunda chama?
Nasema sijaridhika, himeni ni kitu gani?

Na kama yakulizapo, mara ikishachanwapo,
Mbona vazi lichanwapo, lenyewe haliliipo?
Himeni itolewapo, kwa nini we huliapo?
Nasema sijaridhika, himeni ni kitu gani?
 
Babu wewe mtata, Judi wamtakya nini
Mwenyewe kaishapata,laazizi wa ubani
Na deadline kaweka, haitozidi mwakani
Judi babu ukimpa, na mimi pia ntataka
hahahaaha home boy kumbe na wewe umo? lol
ni mimi tu nimebaki...
 
misi judi nimerudi,kuna jambo lisahau
kuna hili la mawifi,dadaangu lifahamu
mawifi watu hatari,hawana akili timamu
mawifi watafrani,hakika wana machungu
ndoa yako taighasi,kuwa imara muhimu
misi judi tafadhali,kwenye hili mwombe mungu


''.....MWANA NGONJERA MIMI NAOONDOOOKAAAAA,MWANA NGONJERA MIMI NAONDOOKAAAA!mawimbiiii bahariniiiiii upepo unanipeperushaaaaaa...''
 
Babu wewe mtata, Judi wamtakya nini
Mwenyewe kaishapata,laazizi wa ubani
Na deadline kaweka, haitozidi mwakani
Judi babu ukimpa, na mimi pia ntataka

Hahahahaha

Kumbe nawe uko ndani, sikujua asilani,
Kumbe kwenye hii fani, huwezi mjua nani,
Nakupatia nishani, karibu ushairini,
Nakuvulia kofia, GY nambari wani.

Da Judi nimemtakia, mafanikio ndoani
Heri nilimtakia, na furaha ya chumbani,
Mambo yakimshindia, Babu niko kwa pembeni,
Kumrithi dada Judy, Babu ana kosa gani?
 
hahahaaha home boy kumbe na wewe umo? lol
ni mimi tu nimebaki...

Jieleleze jieleze, jeileze jeilezee, jieleze jieleze jieleze, najielezaaaaaa babaaaaaaa

Mimi apa mimi apa, jina languuu jiiiiiwaiiiiiii
kinywaji changu ni valuu, kaunta yangu ni ya juu

Najelezezaaaaa baabaaaaaaa
 
sasa Miss Judi ndo aolewa sasaaaaaa
sas ndo vile mumwache sasaaaa,
sasa sio mwamsumbua sasaaaa,
Sasa sio kumPM sasaa,
sasa Judy kampata wa kumpa sasa
sasa takuwa halali na njaa sasa,
sasa hamu mepata mwisho sasa,
Sasa akitaka anagusa tu sasa
Anapewa
Anajipa
wanapeana

rahaaaaaa.....utamuuuuuuu...rahaaaa....utamuuuu
Malezi yanaanza
Makwenzi kwa watoto sasa
Ngumi kwa Miss Judy sasa
Ndoa raha na karaha

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Jieleleze jieleze, jeileze jeilezee, jieleze jieleze jieleze, najielezaaaaaa babaaaaaaa

Mimi apa mimi apa, jina languuu jiiiiiwaiiiiiii
kinywaji changu ni valuu, kaunta yangu ni ya juu

Najelezezaaaaa baabaaaaaaa


eeee bwana ndio!

Umeiona ya Teamo " kwa mbaliiiiiiiiiiiiiii baharini, mawimbi yananipeperusha" .....dah
 
Jieleleze jieleze, jeileze jeilezee, jieleze jieleze jieleze, najielezaaaaaa babaaaaaaa

Mimi apa mimi apa, jina languuu jiiiiiwaiiiiiii
kinywaji changu ni valuu, kaunta yangu ni ya juu

Najelezezaaaaa baabaaaaaaa
na mimi haaapaaa ni teaaamoo,mfaluumeee wa amaaanii
ninapendaaa sanaaa totooooz,NAJIELEEZAAAA BAABAAAAAA
 
SHUUUULEEEEE NAAAIIPEENDAAAAA SHUUUULEEEEE AAAAAAH!shuuulee naaipeendaa shuleeee aaaaah

kiiunoo chaangu chembambaaaa chakuvaliiaaa mkaaandaaa shuleeeee aaaaaah
 
hehehehe!
NAOMBA NIMSINDIKIZE KOLOKWINI KWA WOMBO....''wana ngonjeera jama twaondoookaa,wana ngonjeeraa jama twaondoookaaaa!upepoooooo bahariiiniiiiiiii MAWIMBI YANA TUPEPERUSSHAAAAA''
Tunaoondoka selaaa, tunayumbayumbaaa selaaa
Wanamashairi selaa,
Mimi na Teamo selaaa
Iyooyoo selaaa
 
SHUUUULEEEEE NAAAIIPEENDAAAAA SHUUUULEEEEE AAAAAAH!shuuulee naaipeendaa shuleeee aaaaah

kiiunoo chaangu chembambaaaa chakuvaliiaaa mkaaandaaa shuleeeee aaaaaah

Maua mazuri yapendezaaaaaaaaaaaaaaaaaa...ukiyatizama...YANACHEKELEA....MAUA MAZUUUUURRRRI YAPENDEZA....!!!!!!!
 
Back
Top Bottom