Asante sana rafiki! Hili lilikuwa linawachanganya wengi.Wakuu hapa kuna vitu watu wanachanganya. Baada ya matokeo ya form IV kutoka nacte wanaruhusu watu kuapply kozi mbalimbali ambazo zipo ktk vyuo vilivyo chini ya nacte. Na nacte wanasimamia kuanzia ngazi ya certificate hadi diploma. Kwa hiyo hiyo deadline iliyoko kwenye web ya nacte ni kwa wale wanaoomba ngazi hizo nilizosema.
Baada ya matokeo ya form 6 TCU nayo inatoa utaratibu wa kuapply for advanced diploma na degree mbalimbali ktk vyuo vikuu.Nayo TCU watatoa deadline yao.
Pia ni vema watu wajue kwamba inawezekana chuo kimoja kikawa kinatoa elimu inayoratibiwa na both TCU na nacte. Kwa mfano,KIU au St.Francis wanatoa kozi mbalimbali;yaani degrees zinazoratibiwa na TCU na certificate na diploma zinazoratibiwa na nacte.
Hivyo basi kama unataka kuapply for degree subiri TCU watafungua baada ya matokeo ya f6 kutoka. Lakini kama unaapply for certificate na diploma, you're running out of time,ingia sasa hivi nacte,chagua kozi na vyuo vilivyo chini ya nacte vimeirodheshwa pale.
Nasisitiza tena,nacte hawahusiki na elimu ya viwango vya degree na kuendelea. TCU nao hawahusiki na elimu ya certificate na ordinary diploma.
kWA NINI ASIENDE FORM FIVE?amepata
physics B
chemistry B
biology B+
mathematics B+
English B
civics C
history C
geography C
kiswahili C.
mwaka 2014 je anaweza kupata nasafi ya clinical officer au medical lab muhimbili au udom? je afanye application Nacte au TCU?.
Hata mimi sina kiherehere July naapplySubiri mwezi wa 7 mkuu
Kumbuka Diploma bado watu wapo vyuoni....lazima lutakuwa na 2nd round baada ya watu kumaliza mitihani ya mwisho.....vile vile unaweza kuapply chuo direct baadayeSAWA NDUGU KWA HIYO WENYE DIPLOMA WATARUHUSIWA KUOMBA TCU?
Hapo mkuu umeeleweka vizuri kuhusu "wanaotKa kusoma vyuo vya ufundi " ngazi ya digrii" hata me sikuelewaSijui unafanya haya kwa kutokujua au ni nini, what a BIG lie and misleading statement. Nasisitiza, hakuna MTU YEYOTE MWENYE DIPLOMA atakayeomba chuo kupitia TCU. Wote wataomba kupitia NACTE. Hiyo tarehe 31 may ni deadline ya wenye diploma wanaotaka kusoma kwenye vyuo vya ufundi vinavyotoa kozi mbalimbali ngazi ya digrii, mfano DIT, MUST na ATC.
Well saidWakuu hapa kuna vitu watu wanachanganya. Baada ya matokeo ya form IV kutoka nacte wanaruhusu watu kuapply kozi mbalimbali ambazo zipo ktk vyuo vilivyo chini ya nacte. Na nacte wanasimamia kuanzia ngazi ya certificate hadi diploma. Kwa hiyo hiyo deadline iliyoko kwenye web ya nacte ni kwa wale wanaoomba ngazi hizo nilizosema.
Baada ya matokeo ya form 6 TCU nayo inatoa utaratibu wa kuapply for advanced diploma na degree mbalimbali ktk vyuo vikuu.Nayo TCU watatoa deadline yao.
Pia ni vema watu wajue kwamba inawezekana chuo kimoja kikawa kinatoa elimu inayoratibiwa na both TCU na nacte. Kwa mfano,KIU au St.Francis wanatoa kozi mbalimbali;yaani degrees zinazoratibiwa na TCU na certificate na diploma zinazoratibiwa na nacte.
Hivyo basi kama unataka kuapply for degree subiri TCU watafungua baada ya matokeo ya f6 kutoka. Lakini kama unaapply for certificate na diploma, you're running out of time,ingia sasa hivi nacte,chagua kozi na vyuo vilivyo chini ya nacte vimeirodheshwa pale.
Nasisitiza tena,nacte hawahusiki na elimu ya viwango vya degree na kuendelea. TCU nao hawahusiki na elimu ya certificate na ordinary diploma.
Pengine kinachochanganya watu ni hii ya kutumia mfumo mmoja ktk kufanya application, yaani CAS,but this does not make it possible kuapply for certificate UDOM!!
Hii sio kweliWakuu hapa kuna vitu watu wanachanganya. Baada ya matokeo ya form IV kutoka nacte wanaruhusu watu kuapply kozi mbalimbali ambazo zipo ktk vyuo vilivyo chini ya nacte. Na nacte wanasimamia kuanzia ngazi ya certificate hadi diploma. Kwa hiyo hiyo deadline iliyoko kwenye web ya nacte ni kwa wale wanaoomba ngazi hizo nilizosema.
Baada ya matokeo ya form 6 TCU nayo inatoa utaratibu wa kuapply for advanced diploma na degree mbalimbali ktk vyuo vikuu.Nayo TCU watatoa deadline yao.
Pia ni vema watu wajue kwamba inawezekana chuo kimoja kikawa kinatoa elimu inayoratibiwa na both TCU na nacte. Kwa mfano,KIU au St.Francis wanatoa kozi mbalimbali;yaani degrees zinazoratibiwa na TCU na certificate na diploma zinazoratibiwa na nacte.
Hivyo basi kama unataka kuapply for degree subiri TCU watafungua baada ya matokeo ya f6 kutoka. Lakini kama unaapply for certificate na diploma, you're running out of time,ingia sasa hivi nacte,chagua kozi na vyuo vilivyo chini ya nacte vimeirodheshwa pale.
Nasisitiza tena,nacte hawahusiki na elimu ya viwango vya degree na kuendelea. TCU nao hawahusiki na elimu ya certificate na ordinary diploma.
Pengine kinachochanganya watu ni hii ya kutumia mfumo mmoja ktk kufanya application, yaani CAS,but this does not make it possible kuapply for certificate UDOM!!
Nacte wanahusika na viwango vya elimu ya juuHii sio kweli
Latifa ukweli ni upi wasaidie watu tuelewe, we are nearing the deadline pleaseHii sio kweli
Wanafunz waliomaliza diploma wanaomba kupitia nacte na mwsho wa kutuma maombi ni trh 31/5 ila badae muda huongezwa kwa lengo la kuweka sawa vile vyuo ambavyo havipo ktk nacte hii ni baada ya tcu kufungua system yao.. ila ukiwa umemaliza diploma na unataka kuenda degree unatakiwa uombe kupitia nacte na sio tcu.. ingieni ktk website yao tangazo lipooooLatifa ukweli ni upi wasaidie watu tuelewe, we are nearing the deadline please
Km haujakuwa na haraka ya kuomba subiri TCU Wafungue system yaoWanafunz waliomaliza diploma wanaomba kupitia nacte na mwsho wa kutuma maombi ni trh 31/5 ila badae muda huongezwa kwa lengo la kuweka sawa vile vyuo ambavyo havipo ktk nacte hii ni baada ya tcu kufungua system yao.. ila ukiwa umemaliza diploma na unataka kuenda degree unatakiwa uombe kupitia nacte na sio tcu.. ingieni ktk website yao tangazo lipoooo
mazingira yatakuwa ndio kipingamizi maana advance kwa masomo ya science pesa lazima zitumike.kWA NINI ASIENDE FORM FIVE?
TAARIFA KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZATukumbushane jamani. Deadline inakaribia ya kufunga CAS -NACTE. Deadline ni 31ST MAY, 2016.
TUFANYE MAREKEBISHO YA MWISHO.
Mwenye taarifa za kusaidia waliiomba katika lala salama hii tufahamishane!